TEMESA yafafanua gharama za ukarabati MV Magogoni

TEMESA yafafanua gharama za ukarabati MV Magogoni

Sasa kilichobadilika ni nini?
Ndio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?

Haya watuambie kikikarabatiwa kina lifespan ya muda gani mbele kabla hakijafikia ukomo wa maisha?
 
Kikisha karabatiwa kitakuwa na uwezo wa kufanya kazi miaka mingapi tena bila kuhitaji marekebisho mengine makubwa?

Je, kikinunuliwa kipya kitakuwa na uwezo wa kufanya kazi miaka mingapi bila kuhitaji ukurabati wa gharama kubwa?
Swali la msingi sana hili
 
Ndio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?

Haya watuambie kikikarabatiwa kina lifespan ya muda gani mbele kabla hakijafikia ukomo wa maisha?
Ndio maana nikashangaa
 
Enzi za Dr Slaa original pangechimbika!
Wilboard Slaa has always been fake, mtu anayechomekwa kwenye opposition na system kwa kazi maalum it's stupidity kudhani ameshawahi kuwa 'original'.

Jamaa alipiga U-turn na kugeuka chawa wa Jiwe, that old man is a total definition of rubbish.
 
Ndio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?

Haya watuambie kikikarabatiwa kina lifespan ya muda gani mbele kabla hakijafikia ukomo wa maisha?
Depreciation a/c
 
Siasa siyo sayansi.
Siasa ni uongo, ulaghai, utapeli, uwizi, dhuruma, you name it.

Sayansi ni vitu vyenye facts hakuna longolongo au ujanjaujanja.

Eti Political Science!!! Makubwa
Uongo, ulaghai, utapeli, wizi, dhulma and 'you name it' vyote ni sayansi. Kuna 'facts' ambazo hutumika ili viweze kufanyika kiufasaha na ukizikosea hizo 'facts' mambo hayaendi.
 
Ndio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?

Haya watuambie kikikarabatiwa kina lifespan ya muda gani mbele kabla hakijafikia ukomo wa maisha?
A very good point, thamani halisi ya sasa ya hicho kivuko baada ya kutumika na kuchakaa ni kiasi gani? Wamefanya estimations kabla ya kuamua kama kikarabatiwe au kinunuliwe kipya?
 
Bado harufu ya ufisadi haiwezi kuomdoka kirahisi. Kwa nini wakakarabati Kenya, na wakati ndani ya nchibyetu tuna kampuni ya wazawa ya Songoro Marines ambao wana uwezo wa kutengeneneza hata kivuko kipya...
Hapa ndipo ninapoachana kabisa na hawa watu.

Timu nzima ipo kwenye upigaji tu, akili zao hazina kitu kingine chochote wanachokifikiria.

Timu mbovu kabisa hii.
 
Hawa Jamaa ni wapuuzi sana ,watanzania wasasa sio wajinga ,watu wameelimika,yaani Temesa na waziri wanajitokeza hadharani kutetea wizi inafikirisha sana.

Mh Rais embu zuia kwanza huu wizi ,huu ni upigaji wa waziwazi ,wananchi tunachukia kwasababu mnatutoza mikodi ya kila aina ambayo haina kichwa wala miguu halafu kumbe fedha mnawapa wezi wanazibanjua tu,mnamuongezea mwananchi ugumu tu wa miasha.

Eti waziri anajitokeza na kusema eti kivuko gharama yake ya sasa ni 25B ,hes serious? Hivi meli ya mwaka 2008 iliyokuwa na thamani ya 8.5B kwasasa inauzwa 25B? Its utter non-sense ,Fukuza huyo waziri maana anatufanya waTZ wote ni Mapoyoyo.

Kipindi Range Rover zinaingia hapa TZ tena enzi hizo alikuwa nazo Nimrod Mkono zilikuwa zinauzwa 200m+ ,je kwasasa hizo range gharama yake ni 600m+?

Kipindi Murano zinashika kasi nakumbuka Mwanadada Lady JayDee alinunua kwa mil 50+ ,Je kwa soko la sasa zinauzwa 150m+? Kwa kifupi nataka kusema kwamba devices huwa inashuka thamani kutokana na muda kwasababu ladri muda unavyoenda devices za kisasa zinaundwa na kuifanya ile ya nyuma isiwe na soko hivyo inapunguza price,hii ni kwa vitu vyote hata S9 wakati zinaingia price yake ilikuwa hatari lakini sasa hadi mchunga ngombe akizichanga anamiliki s9.
 
Kwa mwaka 2008 exchange rate haikuwa 1756@1, kwa kipindi hicho ilikuwa inakimbizana Pound, hata Us Dollar yenye ilikuwa exchange rate ilikuwa zaidi ya Tshs 1756 inayotajwa, labda waje na hoja nyingine!.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
2008 exchange rate haikufika hata 1200 mzee acha fix
 
Sintofahamu MV Magogoni watu wanapiga sana serikalini na seikali ya CCM imelala usingizi mzitoooo, loohhhh majangaa kweli!

Yaani kama watapitisha huu ufisadi, basi watu wataona uchungu sana kukatwa makato na tozo kwenye simu, iweje watu tukamuliwe tozo kwa uchungu mkali kiasi hiki halafu watu wakale kiulaini tu, kama wanasukuma mlevi yani,, aaahg, hapana aisee!!
 
Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya...
Kwahiyo gari mpya kama V8 ya milion 400, inaweza kukarabatiwa kwa milioni 350 miaka 15 baadae? Linawezekana hilo?
 
Kwa mwaka 2008 exchange rate haikuwa 1756@1, kwa kipindi hicho ilikuwa inakimbizana Pound, hata Us Dollar yenye ilikuwa exchange rate ilikuwa zaidi ya Tshs 1756 inayotajwa, labda waje na hoja nyingine!.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Tazama hapo kwenye graph vizuri utaona figure ilikuwa kiasi gani wakati huo.

Ila still nakuunga mkono kuwa hapa wanatafuta pakutokea baada ya kuona watu wamestuka.

Swala hapa ni kuwa hicho kivuko tunaweza nunua Viwili vipya na chenji ikabakia.
Screenshot_20230222_001622.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230222_001622.jpg
    Screenshot_20230222_001622.jpg
    49.6 KB · Views: 3

Tanzania ni nchi ya vilaza kweli watu wanaiba na serikali imenyamza kimya lohhh Majangaa kweli.
 
Back
Top Bottom