King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Upo sahihi, Biblia neno la Mungu lipo Wazi:
Lakini kama unawapinga kwa kutofuata neno la Mungu nawe ni mmoja wao.
1 Yohana 4:1
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zipimeni hizo roho, kama zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Kama kazi aliyotumwa ameimaliza, basi hakuna namna Bwana amemtwaa.R.I.P [emoji24][emoji24][emoji24]jamaa alitoka kuhubiri neno la mungu baada ya hapo akafa....what wonderful death[emoji24][emoji24][emoji24]kifo kizuri sana hicho mwisho wake umekua nzuri sana.......wengine wanafia bar na guest lakini yeye amekufa katika njia ya kuhubiri neno la mungu[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
R.i.p dady[emoji1317][emoji1317]
umesoma hilo neno?Manabii wa uongo wanaonekana kwa matendo yao ingawa wanajionyesha kufanya miujiza fekero ya kubumba na ya kisanii kama ya Gwajima alivyomfufua binti pale stejini hahaaaa.
Myles monroe na fanuel zedekia ,chibalonza ilikuwaje?Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
unajibizana na mpagani, asiye tairiwa rohoni,kwani wanayemuita "Baba Mtakatifu Papa John Paul Hakufa ghafla mwaka 2005 huko VAtican? Si mnasemaga yeye anaongea na Maria kila siku?Myles monroe na fanuel zedekia ,chibalonza ilikuwaje?
Amevipiga vita vilivyo vizuri , mwendo ameumaliza imani ameilinda ππ»Kupitia ukurasa wake wa Instagram imethibitishwa Mtumishi wa Mungu maarufu Afrika Tb Joshua amefariki, Mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijatolewa.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi[emoji1545][emoji1545]View attachment 1809905
View attachment 1809907
Hakina manufaa kwao pengine
Umewagusa wengi mtu wa Mungu lala salama
OK sijaona na niko hapa hapa switching between CCN ad BBC English broadcast anyway
Basi coverage very minimal... Vitu kama hivi kwa watu mashuhuri huwa mashirika haya yanatangaza sana, habari zinajirudia rudia mpaka zinakera. Nilitegemea kitu kama hicho kwa TB Joshua!
Nilitegemea CCN/BBC watangaze habari za kifo cha TB Joshua (kama ni kweli). Wala sijaona matangazo kuhusu hilo, tangu saa 11 asubuhi naangalia CNN na BBC! Kweli wazungu wana dharau. Kifo cha TB Joshua is not news to them!