King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Upo sahihi, Biblia neno la Mungu lipo Wazi:
Lakini kama unawapinga kwa kutofuata neno la Mungu nawe ni mmoja wao.
1 Yohana 4:1
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zipimeni hizo roho, kama zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Manabii wa uongo wanaonekana kwa matendo yao ingawa wanajionyesha kufanya miujiza fekero ya kubumba na ya kisanii kama ya Gwajima alivyomfufua binti pale stejini hahaaaa.