Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Mwanangu sijaandika kwa hasira. Ni ukweli mtupu. Yesu alipowaafufua wafu, aliweza kufufuka mwenyewe (kama wanaoamini hivyo wanavyodai). Huyu tapeli ngoja uone kama atafufuka zaidi ya kutokomea kama akina Rwakatare aliyewaibia akina mama angewapatia waume wakati yeye hakuwa naye hata wa chembe zaidi ya ushugamami mwanangu. Nina hasira na matapeli hawa kusema ule ukweli.Mkuu mbona kama umeandika kwa hasira sana??
Sema pia maswala ya kumjaji mtu nayo hayafai!
Tatizo ni kwamba hizo stori za kufufuka mi siziamini☹Mwanangu sijaandika kwa hasira. Ni ukweli mtupu. Yesu alipowaafufua wafu, aliweza kufufuka mwenyewe (kama wanaoamini hivyo wanavyodai). Huyu tapeli ngoja uone kama atafufuka zaidi ya kutokomea kama akina Rwakatare aliyewaibia akina mama angewapatia waume wakati yeye hakuwa naye hata wa chembe zaidi ya ushugamami mwanangu. Nina hasira na matapeli hawa kusema ule ukweli.
Huo ndo ushahidi kuwa huu ni utapeli unaotendwa na vihiyo walioogopa umande kupata kula kutokana na kutokuwa na sifaTatizo ni kwamba hizo stori za kufufuka mi siziamini☹
Uko sahihi Jimena jamaa kahukumu sana aisee mfano mtu kama Gamanywa sioni tatizo lake mm aiseeMkuu mbona kama umeandika kwa hasira sana??
Sema pia maswala ya kumjaji mtu nayo hayafai!
Sio kila anaehubiri neno la Mungu ni tapeli Wengine ni wapakwa mafuta wa BwanaMwanangu sijaandika kwa hasira. Ni ukweli mtupu. Yesu alipowaafufua wafu, aliweza kufufuka mwenyewe (kama wanaoamini hivyo wanavyodai). Huyu tapeli ngoja uone kama atafufuka zaidi ya kutokomea kama akina Rwakatare aliyewaibia akina mama angewapatia waume wakati yeye hakuwa naye hata wa chembe zaidi ya ushugamami mwanangu. Nina hasira na matapeli hawa kusema ule ukweli.
Mi wote hao sijaona matatizo yao!Uko sahihi Jimena jamaa kahukumu sana aisee mfano mtu kama Gamanywa sioni tatizo lake mm aisee
Lusekelo,Gwajima,Mwamposa na Mwingira kwangu mm taa nyekundu inawakaMi wote hao sijaona matatizo yao!
Sio kila anaehubiri neno la Mungu ni tapeli Wengine ni wapakwa mafuta wa Bwana
Kwavile haya mambo watu hufanya kwa kupenda kwao mi sioni shida yoyote!Lusekelo,Gwajima,Mwamposa na Mwingira kwangu mm taa nyekundu inawaka
Sio kila anaehubiri neno la Mungu ni tapeli Wengine ni wapakwa mafuta wa Bwana
Hebu tuache utani. Nani anawapaka mafuta hayo kama siyo utapeli kama wa anayeitwa mtume paulo aliyewaua wanafunzi wa Yesu ila baada ya kugundua kuwa janja yake ilikuwa imekwisha wangemsulubisha, akasingizia alikutana na Yesu na kuona mwanga. Hakuna cha kupakwa mafuta wala nini bali ukihiyo na usasi wa ngawira na uchumia tumbo,Sio kila anaehubiri neno la Mungu ni tapeli Wengine ni wapakwa mafuta wa Bwana
Wote hao ni matapeli wa kawaida tu wenye roho mtakakitu waitayo mtakatifuLusekelo,Gwajima,Mwamposa na Mwingira kwangu mm taa nyekundu inawaka
Tehe teh Mathayo 1:7Usihukumu ili usije ukahukumiwa Mathayo1:7
Yesu alifufuka katika wafu. Sasa ni mzima kabisa!Nabii Ibrahim amekufa,
Mtume Paulo amekufa,
Mwana wa Mungu Yesu amekufa,
Itakua huyo bwana Joshua.
Acha ujivuni na kuhukumu watuKaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Kifo cha TB Joshua sio mambo ya kipuuzi!.afrika tuna shida sana. tunapenda sana kujadili mambo ya kipuuz. angalia jinsi huu uzi unavotembea.