Watakaofuata ndio wataanza kushinda hizo tuzo kwa sasa hawa wamefanya walichoweza na sidhani kama watazidi walipofika washafika kwenye peak yao.Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
View attachment 3223479
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
Dangote mlinganishe na Wakina Mo.Wakina Dangote Nigeria wanatengeneza mabilioni ya dola wewe unauza viepe tu ukipata hela ya bando unamlaumu Zuchu. Jichunguze wewe kwanza.
Dangote mlinganishe na Wakina Mo.
Nimecheka mpaka nimepaliwaWakina Dangote Nigeria wanatengeneza mabilioni ya dola wewe unauza viepe tu ukipata hela ya bando unamlaumu Zuchu. Jichunguze wewe kwanza.
Why Zuchu na sio Nandy, Maua Sama,Mimi Mars au hawa hawapo busy kuwapikia waume zao.Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
Wewe ndio umeongea la msingi anyway Jana nimepigwa tukio la maana acha tu demu aliniita kwenye ghetto lake nikale mzigo wakati ndio tunataka tufanye si akaingia mzazi mwizie wakati alishaniambia wameachana na ushahidi kabisa alinioneshea, ugomvi ulikuwa mkubwa sana nusu nusu nichomwe na kitu bahati nzuri au mbaya demu akamuwahi mzazi wake kwa kumpiga kisu yeye me nilikuwa sijui jamaa ana kisuKuna connection na masuala mengine ya nyuma ya pazia wewe hauyajui. Haujiulizi kwanini burna boy alianza kuchukua sana izo tuzo baada ya kwenda nyumbani kwa pdidy. Mfano uyo Tyla ni industry plant, hana mziki wowote wa maana. Kanye west na michael jackson walishawahi kusema uko kwenye music industry kuna tycons wanaocontrol kila kitu. Watakupa umaarufu watakutumia na wakati ukifika watakushusha. Hao wakina Zuchu bado hawajapenya kwenye system
Haifanani na ukweli. Kuuza viepe nayo ni kutengeneza hela kama anavyotengeneza Dangote, au kumpikia Diamond nayo inamsogea karibu na music awards!?Wakina Dangote Nigeria wanatengeneza mabilioni ya dola wewe unauza viepe tu ukipata hela ya bando unamlaumu Zuchu. Jichunguze wewe kwanza.
Tyla ni industry plant!? Na Zuchu je, yeye ni nini!?Kuna connection na masuala mengine ya nyuma ya pazia wewe hauyajui. Haujiulizi kwanini burna boy alianza kuchukua sana izo tuzo baada ya kwenda nyumbani kwa pdidy. Mfano uyo Tyla ni industry plant, hana mziki wowote wa maana. Kanye west na michael jackson walishawahi kusema uko kwenye music industry kuna tycons wanaocontrol kila kitu. Watakupa umaarufu watakutumia na wakati ukifika watakushusha. Hao wakina Zuchu bado hawajapenya kwenye system