Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

Siujui mfuko au acc ya Diamond japo alipo mfikisha mpaka alipo kajitahidi.
WCB ishakuwa East African brand kubwa lakini bado inaendelea kucheza league ambazo Bongo flava ilikuwa ishafika.

Kwa hiyo Diamond anahitaji vichwa haswa vya muziki na Fitna ili apeleke label masoko mengine ya Africa. Ila kwa hali ya sasa bado bado
 
Kwenye grammys kuna category moja tu ya miziki ya kiafrika - afrobeats. Ilianzishwa miaka 2 iliyopita.

Sasa mziki wa afrobeats umetawaliwa na wanigeria.

Lakini africa genres za mziki ni nyingi(bongo flava, amapiano etc).

Ili wale wachambuzi wa grammy watambue aina fulani ya mziki, inabidi wausikie kwanza, huo mziki inabidi uwe na uchochezi.

Afrobeats mwaka jana ilipata 15b streams spotify tu. Afrobeats ni mziki wa kidunia tayari.

Bongo flava bado haijafikia huko.

CEO wa grammy, anasema anatambua hilo tatizo, lakini watafanya namna wasanii wa genres nyingine za africa wawe wanapewa tuzo ndani ya category ya afrobeats.

Backlash waliyopata kwa tyla ilikuwa kigezo tosha cha kubadilika.

Nachokiona hapo ni business inahusika lakini pia mfano kwa East Africa, muziki wetu bado haujapata international appeal na wasanii wetu wanarukaruka tu

Binafsi naamini singeri inaweza kuchukua grammy kama ikiwa packaged vizuri kuliko hizo komasava na siendi maana zinakosa originality and depth
 
Binafsi naamini singeri inaweza kuchukua grammy kama ikiwa packaged vizuri kuliko hizo komasava na siendi maana zinakosa originality and depth
singeli ni upuuzi mtupu aisee

wachambuzi wakiambiwa maana ya zile lyrics watachoka

singeli ni tamaduni inayotakiwa ifutiliwe mbali kama ukeketaji tu
 
WCB ishakuwa East African brand kubwa lakini bado inaendelea kucheza league ambazo Bongo flava ilikuwa ishafika.

Kwa hiyo Diamond anahitaji vichwa haswa vya muziki na Fitna ili apeleke label masoko mengine ya Africa. Ila kwa hali ya sasa bado bado
Hela ndio kikwazo unafikiri hivyo vichwa utavipata bila hela.Ila Diamond yeye kama yeye masoko ya ndani ya Africa anafanya vizuri, kwani kishapiga show zaidi ya asilimia 90 ya nchi zote za Africa,tena viwanjani.

Issue kutoka nje ya Africa, kupata watu smart kuna hitaji hela tena sio ndogo ni hela ndefu.
 
Wakuu,

Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?

Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.

Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.

Ni aibu kubwa sana.

Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.

Hivi anajua hata kupika kweli?Asije akawa anampikia dogo supu ya kabeji.
 
Tatizo miziki yake lazima aingize verses za kuwa trash wanawake wa simba la masimba. Bi Khadija ampleke mwanae visiwani akazinguliwe maana naona uchawi wa wala mawese umezidi makali na nguvu katoto hakaoni wala kisikia.
King'ang'a kazi anayo. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
amapiano unyama tu

ila singeli zinatia kinyaa kabisa
Sikuiona hii 😁

Kaka amapiano ni muziki wa Dj's, Singeri ni culture kama ambavyo Afrobeatz ni muziki wa vibe.

Binafsi naona singeri inadharauliwa kama elites wa South Africa wanavyoidharau Amapiano. Ukiniuliza Mimi, singeli bado ina potential kubwa na ukitaka kujua hilo angalia show za wasanii wa singeli nje.

Utajua it's a matter of time
 
singeli ina streams ngapi kaka?

mwaka jana amapiano ilikuwa na zaidi ya 1b streams spotify

wanasema it is one of the fastest growing genres in the world

elites wa kule hawaidharau, wanaipeleka kwenye club za wazungu

producers wengi wa amapiano ni 'elites'

singeli ni ngoma za asili tu aisee

labda zi 'evolve' ziwe bora.
 
South Africa kwa Africa ni Fashion and entertainment hub na genres zao huwa zinafika mbali kwa sababu huwa wanafanikiwa katika kutengeneza identity and promotions

Na kheri kwaito ulikuwa muziki flani mzuri Ila amapiano ni muziki wa mtaa tu Ila kwa sababu imewekewa marketing and investment ndio maana mnaiona ni big thing

Singeri achana na hizo zisizoeleweka, Ila singeri za kuimba huwa zinavuka boda sana na zinapata views kuliko hata wasanii wakubwa wa bongo flava mfano wivu.. Naamini unaona kautaka ni bora kuliko wivu kwa sababu ya promo

But angalia show zote za zuchu nje ya Afrika mashariki kama kuna wimbo huwa unampa mwitikio kuliko nyumba ndogo. Mkuu fikiria tu zaidi
 
Back
Top Bottom