Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
kaka mpaka naku ambia haifiki, ange pata connection ange pasuka USD 100-150k.Sasa kumpata Ed Sheran hapo ndipo pagumu maana yule kumpata utakutana na timu yake watakuambia weka USD 500K mezani. Husimuone Mondi kufanya Collabo na Neyo,Jason,Rick Ross nk fedha zinamtoka kufanya nao Collabo.
hapo una Jenga ukaribu na Jamaa wa manager wake, ed Sheeran katoa verse nyingi bure huku Africa.
sema wali kosa promotion tu.
halafu angalia hata distributor wao wa mziki, ni ziiki😂🤣. akati wenzio wako na empire ya marekani.