Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Nje ya mada.Tems ana mipaja na lishape flani hivi la kinyakyusa na ni mdogo kiumri kwa huyu shangazi yetu zuchu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umechukua tuzo gani?Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.

Tuzo zoote ni kama za wanaijeria ...Kila Mtu apambane kivyakeWakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
Hakikisheni mnaishi wengi marekani na hamna unafiki.Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
Yule Tyla Kweli ni Industry plantKuna connection na masuala mengine ya nyuma ya pazia wewe hauyajui. Haujiulizi kwanini burna boy alianza kuchukua sana izo tuzo baada ya kwenda nyumbani kwa pdidy. Mfano uyo Tyla ni industry plant, hana mziki wowote wa maana. Kanye west na michael jackson walishawahi kusema uko kwenye music industry kuna tycons wanaocontrol kila kitu. Watakupa umaarufu watakutumia na wakati ukifika watakushusha. Hao wakina Zuchu bado hawajapenya kwenye system
Haifanani na ukweli. Kuuza viepe nayo ni kutengeneza hela kama anavyotengeneza Dangote, au kumpikia Diamond nayo inamsogea karibu na music awards!?
na licha ya hayo, bado Kuna hujuma kibao.Why Zuchu na sio Nandy, Maua Sama,Mimi Mars au hawa hawapo busy kuwapikia waume zao.
Hizi tuzo kwa Tz mziki wetu bado sana kuanzia productions, creativity kwa maana ya Uniqueness, lugha,promotion,branding nk,mtawalaumu tu wasanii,ila wasanii wa Nigeria ni level nyingine.
Wasanii wa bongo kwa Zone ya Africa Mashariki na kati wapo vizuri, huko kwingine bado kwani hawana mitaji ya kupush miziki yao kama wanaija.
Inawezekana na zuchu pia ni industry plant lakini connection yake ni ndogo ukilinganisha na ya uyo tyla.Tyla ni industry plant!? Na Zuchu je, yeye ni nini!?
Hivi Afrika nzima aliyeshindwa kupata hiyo Grammy ni Zuchu peke yake au una chuki binafsi? Ok let me put it this way, hivi Tanzania nzima aliyeshindwa kupata Grammy ni Zuchu peke yake?Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
na licha ya hayo, bado Kuna hujuma kibao.
angalia album ya timeless ya davido, Ika kosa licha ya kuwika vyema.
Mna maana gani kusema industry plantB?Yule Tyla Kweli ni Industry plant
Ila nyimbo iliyo niuma ni Ile single again, konde ange mpa collabo ed Sheeran ili kuwa tayari ni global 🔥.Ndio ukweli wenyewe hujuma nyingi, Davido mwenyewe anasema kipindi wanajitafuta kutafuta soko la nje wamehonga sana Madj US kuanzia club mpaka kwenye Maradio.
Sio rahisi watu wanavyo zani.Ujue sometimes unaweza ukamuona mtu anafanya kitu ,ukamuona huyu mzembe au mvivu, sasa ingia kwenye kile akifanyacho baada ya hapo ndipo utakapo anza kumuheshimu.
Ndio ukweli wenyewe hujuma nyingi, Davido mwenyewe anasema kipindi wanajitafuta kutafuta soko la nje wamehonga sana Madj US kuanzia club mpaka kwenye Maradio.
Sio rahisi watu wanavyo zani.Ujue sometimes unaweza ukamuona mtu anafanya kitu ,ukamuona huyu mzembe au mvivu, sasa ingia kwenye kile akifanyacho baada ya hapo ndipo utakapo anza kumuheshimu.
Tems anasura nzito, nahisi anaikaribia 30.Nje ya mada.Tems ana mipaja na lishape flani hivi la kinyakyusa na ni mdogo kiumri kwa huyu shangazi yetu zuchu.
Sasa kumpata Ed Sheran hapo ndipo pagumu maana yule kumpata utakutana na timu yake watakuambia weka USD 500K mezani. Husimuone Mondi kufanya Collabo na Neyo,Jason,Rick Ross nk fedha zinamtoka kufanya nao Collabo.Ila nyimbo iliyo niuma ni Ile single again, konde ange mpa collabo ed Sheeran ili kuwa tayari ni global 🔥.
halafu sisi hata production yetu ni uongo uongo, sikiliza beat za Wana ija lazima utikise kichwa.
kiba aki pewa beat nzuri Kama za lojay au sarz, duniani ni uhakika.