Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

not like us au satan ya sza ni overrated songs.

angel numbers iki pigwa mwanzoni, Kisha Ile verse ya pili uta ona Kuna energy fulani ya hisia 🔥 🔥.
Ngoja namimi nije nizipe sikio zote upya halafu nione ipi ni ipi, inawezekana una hoja mkuu, so unapaswa kusikilizwa😂😂
 
Mkuu Tems anashinda Grammy Zuchu anampikia Diamond unamlaumu, Dangote anapiga mabilioni ya dola wewe huijui hata dola elfu saba tukusifie?
Kwani mimi nimemkosoa Zuchu!? Jaribu kuangalia niliyem_quote labda unaweza elewa comment yangu (kama hata huo uwezo unao lakini). By the way dollar elfu saba kwako ndio pesa nyingi au!? Au Dangote ndiye pekee anayepiga hela duniani!?
 
Kwani mimi nimemkosoa Zuchu!? Jaribu kuangalia niliyem_quote labda unaweza elewa comment yangu (kama hata huo uwezo unao lakini). By the way dollar elfu saba kwako ndio pesa nyingi au!? Au Dangote ndiye pekee anayepiga hela duniani!?

Wewe nitolee makasiriko hapa, I don't have a time to deal with your emotions
 
Why Zuchu na sio Nandy, Maua Sama,Mimi Mars au hawa hawapo busy kuwapikia waume zao.

Hizi tuzo kwa Tz mziki wetu bado sana kuanzia productions, creativity kwa maana ya Uniqueness, lugha,promotion,branding,connection, system iliyo tayari nk,mtawalaumu tu wasanii,ila wasanii wa Nigeria ni level nyingine.

Wasanii wa bongo kwa Zone ya Africa Mashariki na kati wapo vizuri, huko kwingine bado kwani hawana mitaji ya kupush miziki yao kama wanaija.
Kifupi ni kwamba muziki wa bongo ni wa Waswahili zaidi na raia wa Africa Mashariki.
 
Mkurugenzi Wa Grammy alihoæjiwa BBC kuhusu ushiriki Wa nchi moja tu kutoka Africa akajibu bado hawana wataalumu Wa Miziki mingine from Africa so Sio tatizo la zuchu Wala WCB
 
Sasa Zuhura ana music gani hadi apate tuzo huko Grammy?
Huko hawaijui Taarabu. Lol
Tatizo miziki yake lazima aingize verses za kuwa trash wanawake wa simba la masimba. Bi Khadija ampleke mwanae visiwani akazinguliwe maana naona uchawi wa wala mawese umezidi makali na nguvu katoto hakaoni wala kisikia.
 
Kuna connection na masuala mengine ya nyuma ya pazia wewe hauyajui. Haujiulizi kwanini burna boy alianza kuchukua sana izo tuzo baada ya kwenda nyumbani kwa pdidy. Mfano uyo Tyla ni industry plant, hana mziki wowote wa maana. Kanye west na michael jackson walishawahi kusema uko kwenye music industry kuna tycons wanaocontrol kila kitu. Watakupa umaarufu watakutumia na wakati ukifika watakushusha. Hao wakina Zuchu bado hawajapenya kwenye system

Huu ni wakati Afrobeats inavuma kama enzi za Sean Paul walovyosumbua na Dancehall. Kwa hiyo kwa sasa msanii yoyote wa Nigeria akifanya vizuri anapata spotlight japo pesa pia inatumika maana muziki ni biashara

Lakini kwa Tems baada ya essence kuwa wimbo mkubwa marekani. Tems alijulikana na kwa sababu anaimba soulful music, ameuza zaidi kwenye soko la marekani na ulaya.

Kwa hiyo mkuu, usishtuke na kwa sababu wameweka kipengele cha Afrika, Zuchu akitengeneza mzuri ukiachana na hizo bubble gums, anaweza kupenya maana tayari ana watu.
 
Back
Top Bottom