Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

Wewe umechukua tuzo gani?
 
Wewe umechukua tuzo gani?
 
Tuzo zoote ni kama za wanaijeria ...Kila Mtu apambane kivyake
 
Hakikisheni mnaishi wengi marekani na hamna unafiki.

Ila hilo lidada nalipenda sana na mauno yake on stage tuachane na mauno ya kwenye vigodoro
 
Yule Tyla Kweli ni Industry plant
 
Haifanani na ukweli. Kuuza viepe nayo ni kutengeneza hela kama anavyotengeneza Dangote, au kumpikia Diamond nayo inamsogea karibu na music awards!?

Mkuu Tems anashinda Grammy Zuchu anampikia Diamond unamlaumu, Dangote anapiga mabilioni ya dola wewe huijui hata dola elfu saba tukusifie?
 
na licha ya hayo, bado Kuna hujuma kibao.
angalia album ya timeless ya davido, Ika kosa licha ya kuwika vyema.
 
Hivi Afrika nzima aliyeshindwa kupata hiyo Grammy ni Zuchu peke yake au una chuki binafsi? Ok let me put it this way, hivi Tanzania nzima aliyeshindwa kupata Grammy ni Zuchu peke yake?
Vipi hauwachambi akina Mo Dewji na Bakhresa wanashindwa kuchukua namba moja ya utajiri Afrika nzima huku a Nigerian Aliko Dangote akiishikilia nafasi hiyo kwa muda mrefu?
We can't all be number one.
 
na licha ya hayo, bado Kuna hujuma kibao.
angalia album ya timeless ya davido, Ika kosa licha ya kuwika vyema.

Ndio ukweli wenyewe hujuma nyingi, Davido mwenyewe anasema kipindi wanajitafuta kutafuta soko la nje wamehonga sana Madj US kuanzia club mpaka kwenye Maradio.

Sio rahisi watu wanavyo zani.Ujue sometimes unaweza ukamuona mtu anafanya kitu ,ukamuona huyu mzembe au mvivu, sasa ingia kwenye kile akifanyacho baada ya hapo ndipo utakapo anza kumuheshimu.
 
Ila nyimbo iliyo niuma ni Ile single again, konde ange mpa collabo ed Sheeran ili kuwa tayari ni global 🔥.

halafu sisi hata production yetu ni uongo uongo, sikiliza beat za Wana ija lazima utikise kichwa.

kiba aki pewa beat nzuri Kama za lojay au sarz, duniani ni uhakika.
 

Your browser is not able to display this video.
 
Zuchu na kingereza wapi na wapi?.Na zile nyimbo zake za watoto
 
Sasa kumpata Ed Sheran hapo ndipo pagumu maana yule kumpata utakutana na timu yake watakuambia weka USD 500K mezani. Husimuone Mondi kufanya Collabo na Neyo,Jason,Rick Ross nk fedha zinamtoka kufanya nao Collabo.

Sometimes mziki ni zaidi ya sauti,kuna watu wana sauti za kawaida ila wana toboa.Nilimsikia Neyo alikuwa anasema siku hizi msanii haitaji kuwa na talent kubwa sana ili kufanikiwa kama enzi zao,kwani lazima uwe sauti nzuri, ufanye sana mazoezi ya sauti na Sometimes ujue kupiga hata chombo kimoja, ila siku hizi kuna vifaa ambavyo vinamboost hata mwenye kipaji cha kawaida.

Yaani hivi vitu Promotion, Connection na Mfumo imara ya kusambaza na kusimamia kazi za wasanii katika level za ndani na kimataifa ndizo zina wafanya Wanaija kuwa bora na kila siku wanazidi kupaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…