Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
kaka mpaka naku ambia haifiki, ange pata connection ange pasuka USD 100-150k.Sasa kumpata Ed Sheran hapo ndipo pagumu maana yule kumpata utakutana na timu yake watakuambia weka USD 500K mezani. Husimuone Mondi kufanya Collabo na Neyo,Jason,Rick Ross nk fedha zinamtoka kufanya nao Collabo.
Halafu kumbuka wenzetu kuna hela unamlipa ya kuingiza vocal na kuna hela ya kuonekana kwenye video yako. Si unajua wanajali sana mionekano ya wasanii wao,so lazima designer wake nae hausike ndio maana kwa Ed hamna hamna 500k USD audio na video.Wizkid ana nyimbo tatu alizofanya na Drake,Criss Brown na Tyga hamna hata moja yenye video ambao hao wasanii wametokea.kaka mpaka naku ambia haifiki, ange pata connection ange pasuka USD 100-150k.
hapo una Jenga ukaribu na Jamaa wa manager wake, ed Sheeran katoa verse nyingi bure huku Africa.
sema wali kosa promotion tu.
halafu angalia hata distributor wao wa mziki, ni ziiki😂🤣. akati wenzio wako na empire ya marekani.
mtu ana toa Ngoma, ila kulipa ili apige live show Tracy mziki, au net urban ni kazi duh.Halafu kumbuka wenzetu kuna hela unamlipa ya kuingiza vocal na kuna hela ya kuonekana kwenye video yako. Si unajua wanajali sana mionekano ya wasanii wao,so lazima designer wake nae hausike ndio maana kwa Ed hamna hamna 500k USD audio na video.Wizkid ana nyimbo tatu alizofanya na Drake,Criss Brown na Tyga hamna hata moja yenye video ambao hao wasanii wametokea.
Konde akiacha kukimbizana na matako makubwa akafocus na mziki wake anaweza fika mbali, ila hii mishepu inamvuruga mpaka amehonga Rang Rover Evoque kwa kajala bado ana uchizi wa wanawake,wenye mashepu na wanampiga sana hela.
Seven alikuwa bonge la meneja sijui walizinguana nini.mtu ana toa Ngoma, ila kulipa ili apige live show Tracy mziki, au net urban ni kazi duh.
Kiba nae Hana manager wa maana, video + production zake ni ili mradi liende.
kwa kusogea seven ali Jitahidi, ila kiba ana hitaji team Kama ya bien.Seven alikuwa bonge la meneja sijui walizinguana nini.
Msanii ndiye anatakiwa kuonesha anahitaji kufanikiwa au anahitaji watu watakao mmeneji ili afanikiwe inawezekana yy hataki.kwa kusogea seven ali Jitahidi, ila kiba ana hitaji team Kama ya bien.
angalia bien miaka mingapi, ila kapiga show London, kwenye uwanja wa 3,6k watu.
ila hawa wetu wana taka hela za humu humu.
Mwingine ambae yuko kamili kwenye lugha, kipaji na hata uandishi ni nyanshiski.Msanii ndiye anatakiwa kuonesha anahitaji kufanikiwa au anahitaji watu watakao mmeneji ili afanikiwe inawezekana yy hataki.
Bien yy anaonesha anahitaji kufanikiwa na kwenda mbali na mpaka unamuona hapo basi yupo na watu ambao anawalipa kumsimamia.
Daah huyo jamaa Nyashinksi na mkubali tokea alipokuwa Klepto, sijui nae anakwama wapi.Mwingine ambae yuko kamili kwenye lugha, kipaji na hata uandishi ni nyanshiski.
ila nae ni kiba alie changamka
Wewe imeshinda tuzo gani? PUMBAVU!!Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
Basi huyo anampikia viepe Mond hafai na tumwite majina yote yaani MVIVU, HAFAI, ANAENDELEZA MAPENZI na KUPIKA.Haifanani na ukweli. Kuuza viepe nayo ni kutengeneza hela kama anavyotengeneza Dangote, au kumpikia Diamond nayo inamsogea karibu na music awards!?
Kwa hichi kifua nitaanza kumfuatilia huyu Temz.Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
Unajiskiaje kuona album ya 11:11 imepewa ilichostahili😅😅😅Mwingine ambae yuko kamili kwenye lugha, kipaji na hata uandishi ni nyanshiski.
ila nae ni kiba alie changamka
Ndiyo Ukweli WenyeweSasa Zuhura ana music gani hadi apate tuzo huko Grammy?
Huko hawaijui Taarabu. Lol
Shida iko wapi? Ngoja ccm kwanza ishindeWakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
Diamondi hana hela ya kupush?Why Zuchu na sio Nandy, Maua Sama,Mimi Mars au hawa hawapo busy kuwapikia waume zao.
Hizi tuzo kwa Tz mziki wetu bado sana kuanzia productions, creativity kwa maana ya Uniqueness, lugha,promotion,branding,connection, system iliyo tayari nk,mtawalaumu tu wasanii,ila wasanii wa Nigeria ni level nyingine.
Wasanii wa bongo kwa Zone ya Africa Mashariki na kati wapo vizuri, huko kwingine bado kwani hawana mitaji ya kupush miziki yao kama wanaija.
nime furahia kinyama, wame mzingua Sana.Unajiskiaje kuona album ya 11:11 imepewa ilichostahili😅😅😅
Sana, wamebana wameachia... Huyu mwamba anastahili apewe crown yake kwa maana R Kelly ameshapitezwa na waliopo wote hakuna wakufunga kamba za viatu vya Chris... Not like us haukufit hapo?😅nime furahia kinyama, wame mzingua Sana.
ila best song Inge kuwa angel numbers aisee.
not like us au satan ya sza ni overrated songs.Sana, wamebana wameachia... Huyu mwamba anastahili apewe crown yake kwa maana R Kelly ameshapitezwa na waliopo wote hakuna wakufunga kamba za viatu vya Chris... Not like us haukufit hapo?😅