Ngoja namimi nije nizipe sikio zote upya halafu nione ipi ni ipi, inawezekana una hoja mkuu, so unapaswa kusikilizwa😂😂not like us au satan ya sza ni overrated songs.
angel numbers iki pigwa mwanzoni, Kisha Ile verse ya pili uta ona Kuna energy fulani ya hisia 🔥 🔥.
Ni mbulushi mkuuKwa hichi kifua nitaanza kumfuatilia huyu Temz.
Ni wa nchi gani mkuu
Kwani mimi nimemkosoa Zuchu!? Jaribu kuangalia niliyem_quote labda unaweza elewa comment yangu (kama hata huo uwezo unao lakini). By the way dollar elfu saba kwako ndio pesa nyingi au!? Au Dangote ndiye pekee anayepiga hela duniani!?Mkuu Tems anashinda Grammy Zuchu anampikia Diamond unamlaumu, Dangote anapiga mabilioni ya dola wewe huijui hata dola elfu saba tukusifie?
Siujui mfuko au acc ya Diamond japo alipo mfikisha mpaka alipo kajitahidi.Diamondi hana hela ya kupush?
Ana bonge la shepuHivi wimbo wake mpya ule unaitwaje? Lizuri hili lidada jamani
Kwani mimi nimemkosoa Zuchu!? Jaribu kuangalia niliyem_quote labda unaweza elewa comment yangu (kama hata huo uwezo unao lakini). By the way dollar elfu saba kwako ndio pesa nyingi au!? Au Dangote ndiye pekee anayepiga hela duniani!?
Kifupi ni kwamba muziki wa bongo ni wa Waswahili zaidi na raia wa Africa Mashariki.Why Zuchu na sio Nandy, Maua Sama,Mimi Mars au hawa hawapo busy kuwapikia waume zao.
Hizi tuzo kwa Tz mziki wetu bado sana kuanzia productions, creativity kwa maana ya Uniqueness, lugha,promotion,branding,connection, system iliyo tayari nk,mtawalaumu tu wasanii,ila wasanii wa Nigeria ni level nyingine.
Wasanii wa bongo kwa Zone ya Africa Mashariki na kati wapo vizuri, huko kwingine bado kwani hawana mitaji ya kupush miziki yao kama wanaija.
Kwenye macho yetu kuna BORITI alafu tunajifanya kuona vibanzi kwenye macho ya wenzetuBinadamu huwa tunajisahau sana kutoa kibanzi kwenye jicho lake, tunakazana kuangalia kibanzi kwenye jicho la mwingine
kabisa mkuuKwenye macho yetu kuna BORITI alafu tunajifanya kuona vibanzi kwenye macho ya wenzetu
Kina nani wamempandaYule Tyla Kweli ni Industry plant
Tatizo miziki yake lazima aingize verses za kuwa trash wanawake wa simba la masimba. Bi Khadija ampleke mwanae visiwani akazinguliwe maana naona uchawi wa wala mawese umezidi makali na nguvu katoto hakaoni wala kisikia.Sasa Zuhura ana music gani hadi apate tuzo huko Grammy?
Huko hawaijui Taarabu. Lol
Mleta mada anaimba band gani mkuu?Wewe umechukua tuzo gani?
Mkuu sio kwa ubaya itabidi nimuite sinza pazuri hiyo habari ya zuhura hapo juu imenitoa machozi.Zuchu net worth yake ni $980
Tems ana $2M
Diamond anayepikiwa maandazi na kababu ana 12M.
Doe the math
Reply nzuri😀Wakina Dangote Nigeria wanatengeneza mabilioni ya dola wewe unauza viepe tu ukipata hela ya bando unamlaumu Zuchu. Jichunguze wewe kwanza.
Makasiriko mpelekee mumeoWewe nitolee makasiriko hapa, I don't have a time to deal with your emotions
Kuna connection na masuala mengine ya nyuma ya pazia wewe hauyajui. Haujiulizi kwanini burna boy alianza kuchukua sana izo tuzo baada ya kwenda nyumbani kwa pdidy. Mfano uyo Tyla ni industry plant, hana mziki wowote wa maana. Kanye west na michael jackson walishawahi kusema uko kwenye music industry kuna tycons wanaocontrol kila kitu. Watakupa umaarufu watakutumia na wakati ukifika watakushusha. Hao wakina Zuchu bado hawajapenya kwenye system