WCB ishakuwa East African brand kubwa lakini bado inaendelea kucheza league ambazo Bongo flava ilikuwa ishafika.Siujui mfuko au acc ya Diamond japo alipo mfikisha mpaka alipo kajitahidi.
Kwenye grammys kuna category moja tu ya miziki ya kiafrika - afrobeats. Ilianzishwa miaka 2 iliyopita.
Sasa mziki wa afrobeats umetawaliwa na wanigeria.
Lakini africa genres za mziki ni nyingi(bongo flava, amapiano etc).
Ili wale wachambuzi wa grammy watambue aina fulani ya mziki, inabidi wausikie kwanza, huo mziki inabidi uwe na uchochezi.
Afrobeats mwaka jana ilipata 15b streams spotify tu. Afrobeats ni mziki wa kidunia tayari.
Bongo flava bado haijafikia huko.
CEO wa grammy, anasema anatambua hilo tatizo, lakini watafanya namna wasanii wa genres nyingine za africa wawe wanapewa tuzo ndani ya category ya afrobeats.
singeli ni upuuzi mtupu aiseeBinafsi naamini singeri inaweza kuchukua grammy kama ikiwa packaged vizuri kuliko hizo komasava na siendi maana zinakosa originality and depth
Vipi kuhusu amapianosingeli ni upuuzi mtupu aisee
wachambuzi wakiambiwa maana ya zile lyrics watachoka
singeli ni tamaduni inayotakiwa ifutiliwe mbali kama ukeketaji tu
amapiano unyama tuVipi kuhusu amapiano
Sifahamu,bali kwa kejeli zake kwenye heading pekee zinaonesha kuwa yeye kafanya makubwa.Mleta mada anaimba band gani mkuu?
Hela ndio kikwazo unafikiri hivyo vichwa utavipata bila hela.Ila Diamond yeye kama yeye masoko ya ndani ya Africa anafanya vizuri, kwani kishapiga show zaidi ya asilimia 90 ya nchi zote za Africa,tena viwanjani.WCB ishakuwa East African brand kubwa lakini bado inaendelea kucheza league ambazo Bongo flava ilikuwa ishafika.
Kwa hiyo Diamond anahitaji vichwa haswa vya muziki na Fitna ili apeleke label masoko mengine ya Africa. Ila kwa hali ya sasa bado bado
Hivi anajua hata kupika kweli?Asije akawa anampikia dogo supu ya kabeji.Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Chapatiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nyimbo gani?sukariii Au sijiiii mama sijiiii
King'ang'a kazi anayo. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo miziki yake lazima aingize verses za kuwa trash wanawake wa simba la masimba. Bi Khadija ampleke mwanae visiwani akazinguliwe maana naona uchawi wa wala mawese umezidi makali na nguvu katoto hakaoni wala kisikia.
Sikuiona hii 😁amapiano unyama tu
ila singeli zinatia kinyaa kabisa
singeli ina streams ngapi kaka?Sikuiona hii 😁
Kaka amapiano ni muziki wa Dj's, Singeri ni culture kama ambavyo Afrobeatz ni muziki wa vibe.
Binafsi naona singeri inadharauliwa kama elites wa South Africa wanavyoidharau Amapiano. Ukiniuliza Mimi, singeli bado ina potential kubwa na ukitaka kujua hilo angalia show za wasanii wa singeli nje.
Utajua it's a matter of time
singeli ina streams ngapi kaka?
mwaka jana amapiano ilikuwa na zaidi ya 1b streams spotify
wanasema it is one of the fastest growing genres in the world
elites wa kule hawaidharau, wanaipeleka kwenye club za wazungu
producers wengi wa amapiano ni 'elites'
singeli ni ngoma za asili tu aisee
labda zi 'evolve' ziwe bora.
Mkuu hivi hii Lugha huwa maana yake ni nini ?Mfano uyo Tyla ni industry plant,
Yupo juu kwa kubebwa au connection ila sio kwa uwezo wakeMkuu hivi hii Lugha huwa maana yake ni nini ?
Ah saw mkuu asanteYupo juu kwa kubebwa au connection ila sio kwa uwezo wake