Tenda: Anahitajika mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa ya serikali

Tenda: Anahitajika mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa ya serikali

Cas9

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
65
Reaction score
17
Habari wakuu.

Anatafutwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa za serikali kwa ajili ya kumsaidia mdau aliyeko nje ya nchi.

Unaweza kuwa mkoa wowote lakini ukiwa Dar au karibu na Dar itakuwa bora zaidi.

Compensation benefits zitatolewa kwa atakeyepata tenda.

Kwa maswali na zaidi tuwasiliane PM.
 
Back
Top Bottom