Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tena ipigwe hasa bila choyo na kuoneana soni.Ndiyo msingi wa kuoana.Kama tendo hilo lisingekuwepo hata maana ya ndoa isingekuwepo.Watu wasinyimane na kujazana vinyongo na mawazo ya visasi/kuuana.Miti lazima ipigwe kwa sana tu, kama hupendi hilo wewe utakuwa sawa na roboti tu muda wote limejaa hasira na stress.
Kuna lugha huwa inatumika sana kwamba mwanaume akipata pesa anabadirika hili siyo kweli, wanawake wengi hawajui sex ni kipengere muhimu sana kwa maumbile ya mwanaume na mbegu millioni kadhaa zinazalishwa daily.Mimi bila tendo la ndoa nisingeingia kwenye taasisi hiyo.Ni sawa na unieleze kwamba niwe mtumishi tu ila nisioneshe kuupenda mshahara na nisisumbuesumbue kuhusu kikotoo.Haipo hiyo.Maana halisi ya ndoa bila kuhusisha tendo la ndoa ni kujidanganya mchana kweupe na kunguru wanashangilia viroja vyenu.
Ijumaa leo, yani lodge saa 4 asubuhi zimeshaandaliwa kwa ajili ya wateja wapya.Ndio kwanza saa 1:35 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki. Hizi ndoa zina mengi. Taasisi kubwa na ngumu kuliko zote.
Hell noooooop!Tendo la ndoa lipigwe marufuku....
Hayo mambo wanapaswa wanawake wasisitizwe sana wanapokuwa kwenye kufundwa kwao.Wasilete masihara,vihasira uchwara au ugomvi unapofika muda wa tendo kama hana sababu za msingi na za kweli.Mwanamke anayekataa kutoa tendo kwa mwenza wake bila sababu za msingi anajionesha namna ambavyo hajielewi.Asilielie mbeleni.Kuna lugha huwa inatumika sana kwamba mwanaume akipata pesa anabadirika hili siyo kweli, wanawake wengi hawajui sex ni kipengere muhimu sana kwa maumbile ya mwanaume na mbegu millioni kadhaa zinazalishwa daily.
Sasa mwanamke akiwa anampa K kwa mgao kama dawasa mume wake uchumi ukibalance lazima atoke nje ambako anapewa yote bila kubaniwa na anapewa style zote pesa ndio kila kitu.
Sasa wanawake wa kileo wasidhani wanaume hawajatulia au hawawezi kubaki njia kuu, tatizo ninaloliona wake za watu wengi wameshindwa kutimiza mahitaji ya kimwili ya waume zao.
Hata mimi siwezi kukubali kukaa na nyege wakati nina mke, ukinibania subiri tu kuna vitoto huko nje vinahitaji masponsor tunaruka navyo tu, anakuita Anko huku unamega kimtindo.
Kwakweli, linaleta kelele nyingi sana.Tendo la ndoa lipigwe marufuku....
Hell noooooop!
Wazee wa zamani ndio mnapenda huu mchezo ila vijana wenu kimoja chalii na hataki tena na ndio maana hata hii thread wameikalia kimya wao vyovyote sawa tuKuna lugha huwa inatumika sana kwamba mwanaume akipata pesa anabadirika hili siyo kweli, wanawake wengi hawajui sex ni kipengere muhimu sana kwa maumbile ya mwanaume na mbegu millioni kadhaa zinazalishwa daily.
Sasa mwanamke akiwa anampa K kwa mgao kama dawasa mume wake uchumi ukibalance lazima atoke nje ambako anapewa yote bila kubaniwa na anapewa style zote pesa ndio kila kitu.
Sasa wanawake wa kileo wasidhani wanaume hawajatulia au hawawezi kubaki njia kuu, tatizo ninaloliona wake za watu wengi wameshindwa kutimiza mahitaji ya kimwili ya waume zao.
Hata mimi siwezi kukubali kukaa na nyege wakati nina mke, ukinibania subiri tu kuna vitoto huko nje vinahitaji masponsor tunaruka navyo tu, anakuita Anko huku unamega kimtindo.
Kama halifai,ya nini kuishi pamoja?Kwa ni msibaki kuwa marafiki wa kalamu tu?Kwakweli, linaleta kelele nyingi sana.
Lipigwe marufuku nchi itulie....Kwakweli, linaleta kelele nyingi sana.
Hakuna mtu asiyependa kutombanah Duniani , vinginevyo ana mapungufu. Hata iweje ipo siku unabanwa na hamu/nyegge za kufa mtu, na kwa bahati mbaya ni kama kiu ya maji vile~ikikubana hata unywe soda 100 hazikati kiu ya kutaka kunywa majiWazee wa zamani ndio mnapenda huu mchezo ila vijana wenu kimoja chalii na hataki tena na ndio maana hata hii thread wameikalia kimya wao vyovyote sawa tu
Zaidi ya Eunice....hata Eunice mwenyewe ana furahaMiti lazima ipigwe kwa sana tu, kama hupendi hilo wewe utakuwa sawa na roboti tu muda wote limejaa hasira na stress.
Punyetrooo bro punyetrrroSasa si bora kuishi kama majirani wema tu?What is better than "blessed sex"?😎
Hamu wanapata ila ndio akipiga kimoja hataki tenaHakuna mtu asiyependa kitombanah Duniani , vinginevyo ana mapungufu. Hata iweje ipo siku unabanwa na hamu/nyegge za kufa mtu, na kwa bahati mbaya ni kama kiu ya maji vile~ikikubana hata unywe soda 100 hazikati kiu ya kutaka kunywa maji
Ili wote tuishie kutembea tumepinda mikono na kutetemeka kama gorillas?😎Punyetrooo bro punyetrrro
Kila mtu aishi kwake, kelele ziishe.Kama halifai,ya nini kuishi pamoja?Kwa ni msibaki kuwa marafiki wa kalamu tu?