Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Kwa hivyo wewe unaamini kusoma shule ni kutoboa maisha???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pole Sana ndugu
 
Thibitisha
 
Pamoja sana kaka
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 qqmake
 
Mkuu ebu punguza lawama kwa vizazi vilivyotutangua, kuna utajiri wa aina nyingi ikiwemo huo wa kurithi uliouzumgumzia sana. Lakini kumbuka si wote wanaorithishwa mali nyingi huwa wanaweza kuendeleza mali hizo au tu hata kuzilinda ziendelee kuwepo.

Tatizo la sisi vijana wengi huwa tukiona mtu kafanikiwa huwa tunafikiri ni rahisi, utajiri wa mtu una siri tofauti ambazo si kla mtu atakuambia.

Muhimu ni kupambana na kuwa na subira, Kuzaliwa masikini sio kosa, bali kufa masikini hilo ni kosa lako na sio watu wanaokuzunguka.
 

unakuta ukoo una watu 1000 lakini hakuna mwenye uwezo wa kumboost mwenzie hata mtaji wa 5mil
 
Masikini chao urozi na uchawi ndivyo wanamiliki, watoto wao wanapigwa ndumba wakiondoka kidogo wakifika huko lazima warudi nyumbani ili wawe wanazunguka zunguka hapo nyumbani kama kuku aliyeatamia mayai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukiwa wewe mwanaume ndiyo unanuka vijasho jasho itakuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tafiti haziishi". Alisikika mjumbe mmoja jf.

-Kaveli-
 
Hii ni kweli kabisa
 
Ukweli 100%
 
Hii dhana ni kweli, kuna wanawake ukiwachakata unapata hela kwenye madili mpaka unashangaa hata kama hawana sura na maumbo ya kuvutia na wengine utajuta hata kama ni warembo wenye sura nzuri na za kuvutia, wapo wenye bahati wakikuomba hela hukosi na wengine unakosa mpaka anakuacha, mambo haya yapo japo hayapewi uzito wake
 
😁😁😁hii kitu niliigunduaga secondari hasa kwa sie wazee wa msuli pepa kuna papuch ukitulia nazo hata pepa uingie ovyo vipi lazima utachomoka......sio lazima ufaulu sana ila unatoka na vimarks vya kukuweka safe..........kuna sehem ukipita unaandamwa na mikosi tu halafu ndo unakuta pisi kali........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…