Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
-
- #81
Hii dhana ni kweli, kuna wanawake ukiwachakata unapata hela kwenye madili mpaka unashangaa hata kama hawana sura na maumbo ya kuvutia na wengine utajuta hata kama ni warembo wenye sura nzuri na za kuvutia, wapo wenye bahati wakikuomba hela hukosi na wengine unakosa mpaka anakuacha, mambo haya yapo japo hayapewi uzito wake
Kabisa kuna mademu wana mikosi ,kuna jamaa yangu ilibidi amuache huyo demu maana aliandamwa na mikosi hadi akaomba poo.
Acha kukurupuka Soma vizuri comment yangu na elewa mstari kwa mstari.Kwa hivyo wewe unaamini kusoma shule ni kutoboa maisha???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Sana ndugu
hatari sana.. raha ya dk 1 majanga miaka au maisha yoteHahahaha
Soma vizur content na elewa ,sijalaum Ila huo ndio ukweli na sijasema ili utusue lazima uridhishwe Mali .Mkuu ebu punguza lawama kwa vizazi vilivyotutangua, kuna utajiri wa aina nyingi ikiwemo huo wa kurithi uliouzumgumzia sana. Lakini kumbuka si wote wanaorithishwa mali nyingi huwa wanaweza kuendeleza mali hizo au tu hata kuzilinda ziendelee kuwepo. Tatizo la sisi vijana wengi huwa tukiona mtu kafanikiwa huwa tunafikiri ni rahisi, utajiri wa mtu una siri tofauti ambazo si kla mtu atakuambia. Muhimu ni kupambana na kuwa na subira, Kuzaliwa masikini sio kosa, bali kufa masikini hilo ni kosa lako na sio watu wanaokuzunguka.
Sure ,lkin sio lazima mtu akuboost mtaji lakin swali je kwenye ukoo wenu yupo hata mmoja ambaye anaweza kuwa kioo Cha wengine?unakuta ukoo una watu 1000 lakini hakuna mwenye uwezo wa kumboost mwenzie hata mtaji wa 5mil
Wacha ulofa wewe.Tendo la ngono linabeba bahati,mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.
“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari unafanya na nani, kwa ajili ya nini, matokeo yake ni yepi”
“Tena sana na ndio maana unakuta wale wenye wanawake/wanaume 9 mpaka 11 na kuendelea ukiwachunguza vizuri akili zao hua lesi muda wote.”
Makubwa haya! LIKUD Hayo masikharame nisipokuwa na wanawake wengi ndo nakosa hela
Kweli kabisa mkuu Tena this week nimeingiza ingizo jipya watoto wakali wanne ambao nime WA schedule Hadi mwezi wa Tano mwaka Huu.Makubwa haya! LIKUD Hayo masikhara
Tunafanana [emoji4]me nisipokuwa na wanawake wengi ndo nakosa hela
Sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] jannelle kabarikiwa wallah
Soma vizur content na elewa ,sijalaum Ila huo ndio ukweli na sijasema ili utusue lazima uridhishwe Mali .
Neno connection Ni pana Sana ,Kuna watu wanapata michongo kisa tu jina la ukoo fulani.
Ukoo wenu wakisambaa sehem mbali mbali na wakiwa na unafuu wa maisha sio had wakupe pesa hata tu kukupa abc za maisha inatosha .
Kwa lugha nyepes Koo nyingi hazina exposure sabab hakuna ambaye amewah kuonyesha njia ya kupambana .
So umenielewa vibaya Rudi Tena Soma na uelewe
Sure ,lkin sio lazima mtu akuboost mtaji lakin swali je kwenye ukoo wenu yupo hata mmoja ambaye anaweza kuwa kioo Cha wengine?
Pesa hufuata mkondo ,hata dili tu mtu hupata kwa maelekezo au go ahead ya mtu fulan ,kitown town huwez pata mchongo kizembe lazima wawepo wa kusimamia show na kukupa Raman kuwa pita hapa na pale ,je hao watu wapo ndani ya ukoo wenu?
Wacha ulofa wewe.
Mfalme Suleimani alikuwa na wake zaidi ya 1000 na makahaba kibao lakini alikuwa tajiri kuliko watanzania wote
Makubwa haya! LIKUD Hayo masikhara
Bahati unayo mwenyewe hailetwi na mtu