Tendo la Ngono ni alama ya kudumu ya watu wawili walioshiriki

Aliyesema haya maneno sio Mungu wala Yesu ni Paulo Mwanadamu tu Kama wewe na Mimi na huo ulikuwa ni mtazamo wake binafsi! Anaweza kuwa wrong pia

Unaweza kuwa sahihi, je unamaneno au kitu chochote utuwekee hapa kilichosemwa na Mungu au Yesu tujue waliyasemaje?

Hata hivyo zinaa inakatazwa katika kila namna.

Mithali 6:32 yeye kaenda mbali anasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakaloiangamiza nafsi yake.
 
Hata hilo andiko la mithali hapo sio agizo la Mungu ni mtazamo wa Mfalme Suleiman!
Hakuna sehemu Mungu amesema ukilala na Mwanamke unaweka alama ya kudumu rohoni, huyo Mfalme Suleiman mwenyewe inasemekana alikuwa na wake Mia sita na mademu mia nne, imagine hizo alama zingetoshaje huko rohoni kwake??
 
Ndio maana nimekuomba utuwekee mambo ambayo Mungu anasema, hilo tu kwa sasa.

Pitia hesabu zako vizuri, ni wake700 na masuria 300.
 
Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
Weka picha kama kielelezo cha kusapoti maelezo yako.
 
Seee we mtu nimekumisimo balaa

Nimekuita uzi fulani kimyaaa
Notifications za JF zilisizi hapa kati kwa muda mrefu kwahiyo ikawa ngumu kupata alerts kwakweli.
Lakini hata hivyo hukuwepo wewe sijui ulijificha ama ulifichwa wapi, maana hata kule kwenye uzi wetu pendwa wa wanyama pori ulipotea muda mrefu sana!
I hope all is well with you. And I'm so glad that you are back.
 
Nimerudi dear kweli sikuwepo, jamani ule uzi bado upo?

Uweke hapa nione mmefikia wapi
 
Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
duh, hadi kwa dada poa ?
 
Back
Top Bottom