APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Hakika maana yule wa 7,800 alipiga kimasihara alafu akapita hivi..😀😀😀Si kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika maana yule wa 7,800 alipiga kimasihara alafu akapita hivi..😀😀😀Si kweli
Aliyesema haya maneno sio Mungu wala Yesu ni Paulo Mwanadamu tu Kama wewe na Mimi na huo ulikuwa ni mtazamo wake binafsi! Anaweza kuwa wrong pia
Hata hilo andiko la mithali hapo sio agizo la Mungu ni mtazamo wa Mfalme Suleiman!Unaweza kuwa sahihi, je unamaneno au kitu chochote utuwekee hapa kilichosemwa na Mungu au Yesu tujue waliyasemaje?
Hata hivyo zinaa inakatazwa katika kila namna.
Mithali 6:32 yeye kaenda mbali anasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakaloiangamiza nafsi yake.
Hata hilo andiko la mithali hapo sio agizo la Mungu ni mtazamo wa Mfalme Suleiman!
Hakuna sehemu Mungu amesema ukilala na Mwanamke unaweka alama ya kudumu rohoni, huyo Mfalme Suleiman mwenyewe inasemekana alikuwa na wake Mia sita na mademu mia nne, imagine hizo alama zingetoshaje huko rohoni kwake??
Weka picha kama kielelezo cha kusapoti maelezo yako.Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
Notifications za JF zilisizi hapa kati kwa muda mrefu kwahiyo ikawa ngumu kupata alerts kwakweli.Seee we mtu nimekumisimo balaa
Nimekuita uzi fulani kimyaaa
Ana kitambi?Nakutana nae Mara kibao..na hanikuli
Nimerudi dear kweli sikuwepo, jamani ule uzi bado upo?Notifications za JF zilisizi hapa kati kwa muda mrefu kwahiyo ikawa ngumu kupata alerts kwakweli.
Lakini hata hivyo hukuwepo wewe sijui ulijificha ama ulifichwa wapi, maana hata kule kwenye uzi wetu pendwa wa wanyama pori ulipotea muda mrefu sana!
I hope all is well with you. And I'm so glad that you are back.
Tangia October 10, 2019 PANTHERA LEO hajaleta tena mwelezo kwahiyo uzi umenyamaza tuliiiii..Nimerudi dear kweli sikuwepo, jamani ule uzi bado upo?
Uweke hapa nione mmefikia wapi
duh, hadi kwa dada poa ?Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri