Tendo la Ngono ni alama ya kudumu ya watu wawili walioshiriki

Tendo la Ngono ni alama ya kudumu ya watu wawili walioshiriki

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanicha hoi kwa cheko..🀣🀣 jamani.
Ananitoshea Sina papara za kutia doa ndoa.
Mi sina kitambi mama ukinipea nitawezana sana..
wacha uchoyo wafadhira nataka niwe wako mume.. nipe Moyo mama maana mi sio mpiga mbira..πŸ˜‰
 
Hakika kama umeshiriki tendo la ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri

Aisee...kwa hiyo ata yule mrembo ambaye mpakanleo bado natamani kurudia game nae inamaanisha niendelee kusubiri tuu ipo siku atanipa tena utamu wake
 
Kwa waliofanya ukubwani kuanzia miaka 30+ ni rahisi kurudia rudia kwa wapenzi walioachana nao
 
ila ngono inapigwa vita aiseee sijui kwanini
kuna siku nipo kanisani padri anasema ngono ni kwa ajili ya uumbaji tu ila binadamu tunafanya kama starehe kwa hiyo ni kosa wtf
watu wazima wameelewana kufanya yao sijui kosa liko wapi hapo
 
Hakika kama umeshiriki tendo la ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
Mbona hata 0.2 ya niliokutana nao siwakumbuki??? Sitaachana nao vipi sasa!
 
Hakika kama umeshiriki tendo la ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
Mimi sikuwa bikra nlipoolewa, je nikitubu na kuachana na wa zamani hiyo alama inabaki?
 
Back
Top Bottom