GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Hakika, kukulana ni maamuzi ya mtu.Yameshawahi kuruhusu na hakuna kilichofanyika..naona ni kujiendekeza na kutokujiheshimu tu
Pengine huo muunganiko, unaongelewa hapo juu ni wa kiroho zaidi na sio kimwili.