harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
siku ina masaa 24 ujue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mpaka Sasa nimebaki dairema vipi huyu mtoto nimkubali au nimepigwa?"
Wewe selemani wa mchongo🚮🚮🚮Mimi ni mwanaume wa miaka 29 miaka minne iliyopita nilipokuwa chuo ilitokea kukutana na demu mmoja ambaye yeye alikuwa ni demu wa mtaani tulikutana kwenye group la Whatsapp la porn baada ya hapo yeye alinifata inbox na tukaanzia hapo nikamwalika ghetto akaja na siku hiyo nilipiga Kwa mara ya kwanza na ya mwisho alipo ondoka aikufika hata week tukapotezeana.
Mimi nikaendelea na maisha yangu na yeye na maisha yake ukapita mda Kama wa mwaka mmoja akaja kunitafuta na kunieleza kuwa ana mtoto wangu to be honest nilikuwa shocked how come, mtu abebe mimba kimya kimya Hadi ajifungue kimyakimya Alf baada ya kujifungua ndio nilikataa.
Baada ya hapo alinitafuta Teena akinisihi sana kuwa anataka nimpe mtoto jina pekee yake ahitaji kitu chochote kutoka kwangu nilimkatalia,lakini baada ya kunisumbua sana na Mimi nina huruma basi nikampatia mtoto yule jina.
Muda ukapita Kama miezi nane hivi akaanza Teena kunisumbua kuwa anataka nikamwone mtoto niliendelea kukata na kumpiga chenga mpaka alipokuja baba yake mzazi wa huyo Binti kunitafuta ndipo nikasema Wacha niende maana nilikuwa nasoma sikupenda kuvuruga masomo yangu Kwa kuhofia kuwa yatafika chuoni na Deen of students ni mnoko atayafikisha Kwa wazazi wangu Bure nikaona nimalize jambo Kwa busara, kabla sijaenda.
Kwao Sasa Kwa mara ya kwanza kumwona huyo mtoto basi Binti alinitafuta before kwenye simu akiniomba niwambie wazazi wake kuwa tunampango wa kuowana maana mda huo nilikuwa nasoma Bado chuo ilikuwa rahisi kueleweka na nilimkubalia Ili tu kumuwekea sawa mazingira ili wazazi wake wasimlete kwere pale nyumbani kwao , kabla atuja-sex aliniambia kuwa anampenzi wake na mm pia nilimuambia kuwa na mpenzi wangu Teena na mtoto nae alikuwa anamfaham, tulikuwa na NY**** ge siku hiyo tulifanya kavu kavu .
Baadae taratibu baada ya mda kupita akanza kubadirika akinitaka matumizi wakati mwanzoni aliniambia kuwa haitaji hata mia yangu yeye anachohitaji ni jina la mtoto nimekuwa nikimpiga chenga na hivi tunakaa mikoa mbali mbali Sasa nimebaki na mgogoro wa nafsi nimkubali au nimkatae huyu mtoto huu ni mwaka wa tatu Sasa yaan mtoto anamiaka mitatu Sasa 03 na kadi za clinic na cheti Cha kuzaliwa vyote vina majina yangu.
Comment za watu wengi ambao ambao wamemwona huyo mtoto na Mimi wanasema ni copyright ila mm nikiona sioni kufanana nae Sasa mpaka Sasa nimebaki dairema vipi huyu mtoto nimkubali au nimepigwa?"
😃 😊 😀 😄 😁 😆 😃 Acha makasiriki bro. Mpe ushauri mdau.Peleka upuuzi fb
taja kwa faida ya members🤣Kuna moja umeisahau😂😂
Aliibuka nayo pale katikati inaitwa MZURI SANAtaja kwa faida ya members🤣
Wewe ni mpumbavu mno! Umekutana na demu kwenye group la porn halafu unaenda kuzini naye bila kuvaa condom! Utakufa kwa UKIMWI dogoMimi ni mwanaume miaka minne iliyopita nilipokuwa chuo ilitokea kukutana na demu mmoja ambaye yeye alikuwa ni demu wa mtaani tulikutana kwenye group la Whatsapp la porn baada ya hapo yeye alinifata inbox na tukaanzia hapo nikamwalika ghetto akaja na siku hiyo nilipiga Kwa mara ya kwanza na ya mwisho alipo ondoka aikufika hata week tukapotezeana.
Mimi nikaendelea na maisha yangu na yeye na maisha yake ukapita mda Kama wa mwaka mmoja akaja kunitafuta na kunieleza kuwa ana mtoto wangu to be honest nilikuwa shocked how come, mtu abebe mimba kimya kimya Hadi ajifungue kimyakimya Alf baada ya kujifungua ndio nilikataa.
Baada ya hapo alinitafuta Teena akinisihi sana kuwa anataka nimpe mtoto jina pekee yake ahitaji kitu chochote kutoka kwangu nilimkatalia,lakini baada ya kunisumbua sana na Mimi nina huruma basi nikampatia mtoto yule jina.
Muda ukapita Kama miezi nane hivi akaanza Teena kunisumbua kuwa anataka nikamwone mtoto niliendelea kukata na kumpiga chenga mpaka alipokuja baba yake mzazi wa huyo Binti kunitafuta ndipo nikasema Wacha niende maana nilikuwa nasoma sikupenda kuvuruga masomo yangu Kwa kuhofia kuwa yatafika chuoni na Deen of students ni mnoko atayafikisha Kwa wazazi wangu Bure nikaona nimalize jambo Kwa busara, kabla sijaenda.
Kwao Sasa Kwa mara ya kwanza kumwona huyo mtoto basi Binti alinitafuta before kwenye simu akiniomba niwambie wazazi wake kuwa tunampango wa kuowana maana mda huo nilikuwa nasoma Bado chuo ilikuwa rahisi kueleweka na nilimkubalia Ili tu kumuwekea sawa mazingira ili wazazi wake wasimlete kwere pale nyumbani kwao , kabla atuja-sex aliniambia kuwa anampenzi wake na mm pia nilimuambia kuwa na mpenzi wangu Teena na mtoto nae alikuwa anamfaham, tulikuwa na NY**** ge siku hiyo tulifanya kavu kavu .
Baadae taratibu baada ya mda kupita akanza kubadirika akinitaka matumizi wakati mwanzoni aliniambia kuwa haitaji hata mia yangu yeye anachohitaji ni jina la mtoto nimekuwa nikimpiga chenga na hivi tunakaa mikoa mbali mbali Sasa nimebaki na mgogoro wa nafsi nimkubali au nimkatae huyu mtoto huu ni mwaka wa tatu Sasa yaan mtoto anamiaka mitatu Sasa 03 na kadi za clinic na cheti Cha kuzaliwa vyote vina majina yangu.
Comment za watu wengi ambao ambao wamemwona huyo mtoto na Mimi wanasema ni copyright ila mm nikiona sioni kufanana nae Sasa mpaka Sasa nimebaki dairema vipi huyu mtoto nimkubali au nimepigwa?"
We dogo stor za kitoto hizo ila ngoja nikupe elimu..Mimi ni mwanaume miaka minne iliyopita nilipokuwa chuo ilitokea kukutana na demu mmoja ambaye yeye alikuwa ni demu wa mtaani tulikutana kwenye group la Whatsapp la porn baada ya hapo yeye alinifata inbox na tukaanzia hapo nikamwalika ghetto akaja na siku hiyo nilipiga Kwa mara ya kwanza na ya mwisho alipo ondoka aikufika hata week tukapotezeana.