Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI đź§µ )

Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI đź§µ )

Heritage123

Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
51
Reaction score
100
Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi

Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI )
maxresdefault.jpg


YouTube ni Moja Kati Ya Jukwaa Ambalo Linalipa Content Creators ( Watengeneza Maudhui ) > Unahitaji Kufikisha Vigezo wanavyohitaji Kisha Unaanza Kulipwa >ili uweze Kutoboa Kwa Urahisi YouTube Unahitaji Kuwa na Niche

Niche ni Mada Special ambayo utakua Unaiongelea Kwa Mfano Niche ya Afya Utaoengelea ishu za Afya

Kwa Kuwa unasoma Post Hii nimekuandalia Niche ambayo ni Ya Hadithi za Kiswahili

Fungua Channel yako ipe Jina ambalo linaendana na Niche ya Hadithi

Kisha Utaenda Kwenye Chatgpt na Kumuambia akuandikie Hadithi Ya kiswahili ya kuhusiana na Kijiji Flani

Kisha Chukua Ile Hadithi Ufanye Voice Over mwenyewe Kupitia simu Yako au unaweza Tumua Tool kama kama "Clipchamp" inafanya voice over kwa Kiswahili

Baada ya Hapo ingia kwa Chatgpt iambie "According To The Story Create 20 Image Prompts For me to use in Creating images" >Itakutengenezea Prompts Utaingia Bing image Creator utaanza Kutengeneza images Chap

Ukimaliza Kutengeneza Images Picha Unaingia Capcut kwajili ya kuunganisha Picha Ulizotengeneza na Ile Voice Yako ( Editing )

Utahitaji Umakini mkubwa sana Hapo Tumia Earpods au Earphone na Simu ili ufanye kazi kwa Umakin

Utaingia Canva utatengeneza YouTube Thumbnail Kali Kisha Utaenda Kuupload Video na Kusubili Views

Unaweza Jifunza zaidi Kupitia Status Zangu Hakikisha Umesave Namba Yangu 0623684510


It's Heritage Tech !
 

Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    212.7 KB · Views: 54
Back
Top Bottom