Hahahahaha.Yaani Maria huwa ananipa mzuka na yale masauti yake. Bora katoka mapema.
Hiyo mechi niliacha kuangalia mwanzo tu, nikaona bora niende shamba nikalime kidogo, [emoji37][emoji37][emoji37] Yeah Halep is cery good! Yani ameimprove sana anakimbiza kona hadi kona.Kana mbio balaa.
Sidhani kama kuna anayepiga kelele kama Maria hata kwa wanaume anachukua nafasi ya kwanza tena kwa mbali tu.
Kabisa. Halafu ukute ndo amemkuta kibonde wake basi atakavo scream! Ukute ndo anasevu match point lazima masikio yaume! Kero kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi jana yule Kerber mjerumani katolewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia nilivyoona Serena kapangwa na Maria niliogopa. Ila Serena akicheza na Maria huwa anajitoa sana. Tokea Maria amfunge Serena kwenye ile fainali ya Wimbledon,Serena anachezaga vizuri sana akiwa akumbana na Maria. Kuna yule anaitwa Justine Henin yule alikuwa kiboko nae kwa Serena.Yani uliona eeh?! Hadi nilimhurumia na si kawaida yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilifurahi sana. Maria saa ingine inabidi kuweka βmuteβ majirani wasije wakakushangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli? Sikua na taarifa! Safi sana yule nina beef nae vibaya sana safi sana ametolewa. Pia kuna yule Muguruza, ametolewa pia, alimtoaga Serena Wimbledon finals miaka ya nyuma basi akajua ameshakua Goat. Mbwembwe nyingiii, saa hizi anatolewa first round [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]π€£π€£π€£ Acha nikachuke beer kwa Mangi sasa [emoji23]
Hahahhaha,halafu haikuchukua hata saa. Ilikuwa dakika 50+.Serena aliishiwa kabisa mbinu. Nadhani alimuunderestmate Simona.Hiyo mechi niliacha kuangalia mwanzo tu, nikaona bora niende shamba nikalime kidogo, [emoji37][emoji37][emoji37] Yeah Halep is very good! Yani ameimprove sana anakimbiza kona hadi kona.Kana mbio balaa.
Mimi pia nilivyoona Serena kapangwa na Maria niliogopa. Ila Serena akicheza na Maria huwa anajitoa sana. Tokea Maria amfunge Serena kwenye ile fainali ya Wimbledon,Serena anachezaga vizuri sana akiwa akumbana na Maria. Kuna yule anaitwa Justine Henin yule alikuwa kiboko nae kwa Serena.
Mimi natamani Medvedev anitolee Djokovic. Maana lazima wakutane kabla ya fainali.
Mimi Team Nadal. Djokovic na Roger wakiendelea vizuri wanakutana nusu final.Nadal akiendelea vyema na Thiem.Weye utakuwa Team Nadal ππππ
Mimi Team Nadal. Djokovic na Roger wakiendelea vizuri wanakutana nusu final.Nadal akiendelea vyema na Thiem.
Kuna huyu anaitwa Nick simpendi jamani,Wimbledon alinisumbulia sana Nadal.
Mimi pia nilivyoona Serena kapangwa na Maria niliogopa. Ila Serena akicheza na Maria huwa anajitoa sana. Tokea Maria amfunge Serena kwenye ile fainali ya Wimbledon,Serena anachezaga vizuri sana akiwa akumbana na Maria. Kuna yule anaitwa Justine Henin yule alikuwa kiboko nae kwa Serena.
Nick kyrgios.Ni mu Australia anacheza vizuri sema ni mtukutu sana. Anaprovoke sana pia.ππππππ huyo Nick jina lake la pili ni nani?
Mimi natamani Medvedev anitolee Djokovic. Maana lazima wakutane kabla ya fainali.
Mimi Team Nadal. Djokovic na Roger wakiendelea vizuri wanakutana nusu final.Nadal akiendelea vyema na Thiem.
Kuna huyu anaitwa Nick simpendi jamani,Wimbledon alinisumbulia sana Nadal.
Yaani huwa anapata motivation ya ajabu akiwa anashare court na Maria. Kama ulivyosema angetumia huo mzuka kwa wengine angekuwa grand slams zaidi ya alizonazo. Ile final ilimuuma sana.Inasemekana Serena alisema βi will never lose to that (Maria) againβ, hapo kwenye insert aliweka neno baya....na alimaanisha. Sema level anayocheza na Maria sio sawa na kwa wengine, mfano angecheza kwa level ya jana na Halep last time walipokutana Wimbledon hivi Halep angeanza wapi kushinda? Jana nimebaki nashangaa how perfect she played! Nikabaki najiuliza how did she not beat Halep?! Sema Serena anajua kututesa sometimes[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Nick kyrgios.Ni mu Australia anacheza vizuri sema ni mtukutu sana. Anaprovoke sana pia.