Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Haya kafanyaje, maana mimi hapa napata scores tu ila radio haijamsemea huyo kichaa wetu najua anaongoza.

Walijibizana na refa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na kuanzia hapo anasemasema peke yake, anagomba haijulikani anamgombeza nani, meza yake wako nervous, wanajitahidi kumuonyesha ishara ya kumtaka atulie. Sijui ana nini Nick. Ila its very entertaining [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu waliokaa siti za mbele wanacheka, wanafurahia his show.
 
Huyu huwa namwona kama Monfils ila mwenzie hana shida. Tennis ingekuwa kama michezo nyingine tungesema anatumia madawa ila huu ni mchezo wenye hadhi yake. Wewe unaona nani atashinda US open? Wapo watoto wengi wamechipukia sana.

Kichaaa wetu kashinda nimecheck sasa hivi. Ila anaweza pigwa fain kama unasema kaleta vituko.
 
VeronicaAmadu Victoire na Penison you should also watch this American kid Coco Gauff. She is only 15 YO but she is playing with determination and I predict that in the next 2 to 3 years she’ll be among top 20 WTA players. She looks a little bit like her idle Venus Williams.
Coco is the future Queen. Ila kafanana na Venus jamani. Umeona King Rafa? Set 3 straight. Vamooos Rafa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyu huwa namwona kama Monfils ila mwenzie hana shida. Tennis ingekuwa kama michezo nyingine tungesema anatumia madawa ila huu ni mchezo wenye hadhi yake. Wewe unaona nani atashinda US open? Wapo watoto wengi wamechipukia sana.

Kichaaa wetu kashinda nimecheck sasa hivi. Ila anaweza pigwa fain kama unasema kaleta vituko.

Ni kweli nikama Monfils sema Monfils yuko humble sana, naye ni very entertaining, wote wawili kama vile hawako serious sana na tennis. Kyrgios ukimuangalia unaweza sema kavuta bangi, but wanapimwa sana haiwezi kuwa bangi.
Baada ya upsets za jana nahisi kutakua na surprise za kutosha, ila naamini wale magwiji akina Nadal bado nafasi wanayo, na pia Serena akiweza ku maintain level kama aliyomchapa nayo Maria, sioni wa kumzuia. We will see.
 
Umri sio issue, Roger Federer is 38 pia, kuna tatizo?! Hata akistaafu kesho she is the GOAT! Na itachukua miaka mingi sana kabla hajatokea atakaevunja rekodi zake. Huo ni uamuzi wake hata akistaafu 2030 ni uamuzi wake. Why are you in a hurry to see her retire? Unafahamu Roger Federer anastaafu lini?[emoji53]
Serena wa sasa, sio yule wa miaka 10 iliyopita, kiwango chake kimepungua sana anaonyesha dalili za kuchoka, kuzaa, umri vimeporomosha kiwango chake, inatakiwa astaafu na heshima zake, au unataka mpaka aje kuzalilishwa na watoto wakina COCO wenye 15 yrz? itakuwa sio fair!
 
Inaoneshwa mda gani?
Safi sana. Ni rahisi sana kuuelewa, just watch two or three matches utakua ushajua. Ni kweli Serena na dada yake Venus ndio chanzo cha wengi wetu kuufuatilia huu mchezo. Enjoy tennis kimbendengu
NB: Natamani sana Serena ashinde hii US Open.
 
Labda walichanganya kidogo na mbegu za Baba wa her idol (I am just joking). If Coco stays healthy her future in WTA is very bright, but I am surprise that the number of black players in both men and women is still very low.

Coco is the future Queen. Ila kafanana na Venus jamani. Umeona King Rafa? Set 3 straight. Vamooos Rafa.
 
Day 3 US Open 2019.
Kati ya mechi nyingi zitakazochezwa leo hizi ni baadhi:
Venus vs Svitolina. Svitolina ni girlfriend wa Monfils. Ni mchezaji mzuri namfananisha na Halep. Wengine wanaocheza leo ni
Serena, Federer, Djokovick, Dimitrov, Madison Keys, in short hizo ndio ntakazoangalia leo.
 
Day 2 US Open 2019.

Maama moto unawaka. Keys kacheza leo kashinda na dimitrive kashinda tusubiri serena, federrer na hao wengine. Watu hawajui raha ya tennis.
 
Labda walichanganya kidogo na mbegu za Baba wa her idol (I am just joking). If Coco stays healthy her future in WTA is very bright, but I am surprise that the number of black players in both men and women is still very low.y
Money talks. Nilikuwa nikicheza one houir nalipa50 $ je watu wangapi wanaweze. Tennis is vey expensive game to practice and play. Hao wazazi walijitoa.
 
Maama moto unawaka. Keys kacheza leo kashinda na dimitrive kashinda tusubiri serena, federrer na hao wengine. Watu hawajui raha ya tennis.

Keys na Dimitrov wamecheza saa ngapi? Nilitaka sana kuona hasa Dimitrov, vipi yupo form? Ni mmojawapo ambaye sielewi why hajashinda grand slam hadi leo kwa kipaji alicho nacho.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Heloo wadau wa tennis, mambo vipi? mpo? US open imeanza, jana nimeshuhudia kichapo cha kufa mtu kutoka kwa mwanadada ambaye anasemwa kuwa ni bora wa wakati wote, yani GOAT, si mwingine ni Serena Williams. Karibuni jukwaani cc BAK Victoire na wapenzi wote wa tennis.
Naskia ticket za nyuma kwenye mechi za wadada huwa ni ghali sana.
 
Sikiujua kuna tennis players and shabiki so kama mimi. Nafurahi sana sababu watu hawaelewi huu mchezo ni bora sana,. One to one or two to two why many????

Tupo washabiki wa kutosha sana. Tennis ndio mchezo bora kwangu. Its always good to find fellow die hard tennis fans.
 
Nishikori is serving for the match. Nafurahi sana huyu Mmarekani aliyecheza nae ana dharau sana.
 
Back
Top Bottom