KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
sijawaii ona ukiwa na furaha kama leo, lazima uka celebrate inaonekanaNyie Watalii mje Bongo mle maraha
Daah!We jamaa una madharau aisee!Halafu ukute huo utajiri uluioina kama unao, umeupata kwa ulaghai na wizi wa mali za umma!Hahahahaha
Anaekwambia Hakuna Amani ni akina Yericko Nyerere Tena Muda huo katoka kushiba ugali Na Matembele Yupo Tumbo wazi anachokonoa Meno kuondoa mabaki ya maharage Kwenye Meno kashika ki techno chake anabwabwaja tu
Sanasijawaii ona ukiwa na furaha kama leo, lazima uka celebrate inaonekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio limetokea muda saa tisa leo. Magaidi bado ndani.Magaidi kwa muda huu wameteka hoteli ya Kifahari ya DusitB iliyopo mtaa wa 14 Riverside Drive, Westlands jijini Nairobi. Al Shabab tayari wamedai kuhusika na tukio hilo huku idadi ya vifo na majeruhi bado haijafahamika
Kwani ndo ina maana wewe siyo Msomali?Wewe kijana mdogo jiongeze kidogo, mimi ni Goddess Isis View attachment 995381
Fafanua MkuuHii inanikumbusha 1998 dsm USA embassy bombing....
Wengine michongo yote ilikufa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ndo ina maana wewe siyo Msomali?Wewe kijana mdogo jiongeze kidogo, mimi ni Goddess Isis View attachment 995381
Kosa lao ni kuisaidia marekani kuwa base ya marekani kupambana na Somalia ,ndo wakajiingiza ,alshababu kama nia ni kuua ua tu basi wangeenda burundi ,magaidi sio vichaa na wangekuwa wajinga jinga marekani isingehangaika nao hivyo
Ushasahau huko ndo Kuna Military base ya US iweje wasiwasaidie???Uzuri mwenzetu anauhusiano mzuri na beberu watamsaidia kuwa kabili, na hasa kama hoteli waliyopo pia ni ya kibeberu.
Ilikuwa niingie hpo ubalozini mambo ya viza