Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Sio poa 🤣🤣Watoto Watano mchezo
Sio poa 🤣🤣Watoto Watano mchezo
FactFeminists wazee wa polimilai halafu wanakuacha mataa "mwanamke wa shoka, mara Super Woman"
Wakamjaza maneno ya hamasa mwanamke wa watu naye pasipo kutumia akili akahamasika kama mashahidi wa Jamuhuri.
Mwishoni ameingia field kuyakabili maisha yaliyo rahisishwa kupitia midomo ya wajuaji.
Finally amekuja kugundua kuwa hamasa za mdomoni hazifanyi kazi eneo la field (real life)
Wanyakyusa punguzeni kiburi,dadaako anataabika huko 😁😁😁Watoto Watano mchezo
Agost 13Unajifanya una ngozi ya chuma, ikiguswa inabonyea, kurudi nyuma naona mbali bora mbele kuelekea. FID Q
🤣ghwe kalumbu….ubhughano bhumalike amasiku agha…kosa kukutonya ngukubhula 🙌🏾Wanyakyusa punguzeni kiburi,dadaako anataabika huko 😁😁😁
Simmwagile inyali
Hii hainogi mpaka kwa video 😂😂Mwanamke anayefahamika kwa jina la Terry Bukuku, kupitia video inayosambaa kwenye mtandao wa TikTok, ameomba msamaha kwa aliyekuwa mume wake, Juma maarufu kama Baba Ivone, huku akieleza kuwa anatamani warudiane na kuendelea kulea watoto wao watano.
Katika ujumbe wake, Terry amekiri kuwa kiburi, dharau na makosa yake ndivyo vilivyochangia kuvunjika kwa uhusiano wao, akisema awali aliamini angeweza kuishi maisha ya pekee lakini sasa amegundua kuwa ameshindwa kuzoea maisha ya kuwa single.
Ameeleza kuwa anamkumbuka sana Baba Ivone na kumuomba amsamehe ili waweze kurudiana, akisisitiza kuwa amejifunza kutokana na makosa yake ya nyuma.
"Mimi nipo hapa mbele yenu Namuomba Msamaha Juma (Baba Ivone) Mwenye watoto Watano, Mume wangu Popote ulipo Naomba unisamehe kweli kiburi changu kimeniponza
Nilidhani Nitaweza kuishi peke yangu kumbe siwezi nimechoka kukaa Single Naomba turudiane tulee watoto ninajua Mimi ndio nimekukosea wewe nilikuwa Nina kiburi na madharau
Na ulinambia utanikumbuka na kweli Baba Ivone nakukumbuka nakuomba nimejua bila wewe siwezi kuishi nakuomba Baba Ivone kiburi kimeniponza na sasa hivi sitaondoka hata unifanyie chochote nitakung'ang'ania" Amesema
Kauli hiyo imeibua hisia na mijadala mitandaoni kuhusu nafasi ya msamaha na nafasi ya pili katika mahusiano.
😄😄😄 Wewe ni mjinga kabisa🤣ghwe kalumbu….ubhughano bhumalike amasiku agha…kosa kukutonya ngukubhula 🙌🏾
Ila kama kuna kutishiwa kuuliwa,nashauri ni bora mtu achague kukimbia kalumbu😄😄😄 Wewe ni mjinga kabisa
Mwikolelege mbanyambala
Tumeshapumzika😎Dada zetu wa Jf tunawaomba mje mtie neno kwenye huu uzi.
Upo sahihi.Ila kama kuna kutishiwa kuuliwa,nashauri ni bora mtu achague kukimbia kalumbu
Upo sahihi,lakini kwa sisi wanyakyusa…mwanaume akiwa mwajibikaji kwa familia ni mabubu sana kalumbuUpo sahihi.
Kwenye mgogoro wowote kwenye ndoa mwanamke akichagua kunyamaza basi ni mwanaume mwendawazimu tu anaweza kuleta maafa kwa mke wake.
Tatizo kamdomo kalumbu...
Hata mimi ni shahidi ila ni wale wa milimani siyo wa ziwani.Upo sahihi,lakini kwa sisi wanyakyusa…mwanaume akiwa mwajibikaji kwa familia ni mabubu sana kalumbu
Sisi wa tukuyu hatuna hizo mambo kalumbuHata mimi ni shahidi ila ni wale wa milimani siyo wa ziwani.
Wale wa ziwani kiburi cha kujibu wamechanjia na hawajui kujuta.
Kabisa yaani 😁😁😁Sisi wa tukuyu hatuna hizo mambo kalumbu
Akubhilwe.Simmwagile inyali
Ila kina Bukuku ni Wandali kwa nnavojua. Sema wameishi miaka Unyakyusani wakawa kama Wanyakyusa.Hata mimi ni shahidi ila ni wale wa milimani siyo wa ziwani.
Wale wa ziwani kiburi cha kujibu wamechanjia na hawajui kujuta.
Ni wanyakyusa pure wa Kiwira Igogwe.Akubhilwe.
Ila kina Bukuku ni Wandali kwa nnavojua. Sema wameishi miaka Unyakyusani wakawa kama Wanyakyusa.
Huyo Mume mpya wa kubeba watoto 5 pamoja na Mama Yao Yuko wapi?Kuna kitu nilikisoma sehemu nakubaliana nacho, kinachomfanya mtu awe na mtu fulani na kutotaka kumkosa ni kwa namna gani anamfanya ajisikie akiwa nae,wala sio mikasi,au pesa pekee
Kwahiyo baba Ivone ana kitu ambacho mama Ivone amekikosa kwengine ndio maana anamtaka baby boy wake