Terry Bukuku: Mume wangu rudi nyumbani turudiane nimetambua kosa langu.

Fact
 
Hii hainogi mpaka kwa video 😂😂
 
Ila kama kuna kutishiwa kuuliwa,nashauri ni bora mtu achague kukimbia kalumbu
Upo sahihi.
Kwenye mgogoro wowote kwenye ndoa mwanamke akichagua kunyamaza basi ni mwanaume mwendawazimu tu anaweza kuleta maafa kwa mke wake.
Tatizo kamdomo kalumbu...
 
Upo sahihi.
Kwenye mgogoro wowote kwenye ndoa mwanamke akichagua kunyamaza basi ni mwanaume mwendawazimu tu anaweza kuleta maafa kwa mke wake.
Tatizo kamdomo kalumbu...
Upo sahihi,lakini kwa sisi wanyakyusa…mwanaume akiwa mwajibikaji kwa familia ni mabubu sana kalumbu
 
Kama aliweza kuvunja uhusiano mara ya kwanza, hatashindwa mara ya pili. Alileta kiburi sababu alimzoea sana, hatashindwa kuleta mara ya pili akimzoea na kutoona upungufu amabo aliupata mwanzo
 
Upo sahihi,lakini kwa sisi wanyakyusa…mwanaume akiwa mwajibikaji kwa familia ni mabubu sana kalumbu
Hata mimi ni shahidi ila ni wale wa milimani siyo wa ziwani.
Wale wa ziwani kiburi cha kujibu wamechanjia na hawajui kujuta.
 
Hata mimi ni shahidi ila ni wale wa milimani siyo wa ziwani.
Wale wa ziwani kiburi cha kujibu wamechanjia na hawajui kujuta.
Sisi wa tukuyu hatuna hizo mambo kalumbu
 
Kule insta kuna mtu kacomment "baba Yvonne popote ulipo weka nikumie nauli uende Zambia"!
 
Huyo Mume mpya wa kubeba watoto 5 pamoja na Mama Yao Yuko wapi?
Wanawake wajitafakari kabla ya kufanya maamuzi yenye maumivu kwa familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…