Terry Bukuku: Mume wangu rudi nyumbani turudiane nimetambua kosa langu.

Ni wanyakyusa pure wa Kiwira Igogwe.
Wako pamoja na akina Malasusa
Ndo wandali hao kina Malakasusa sio Malasusa. Ila ni jamii za wandali ambao walilowea miaka Unyakyusani so wako termed kama Wanyakyusa, maana ukivuka tu mto Kiwira ndo kwao huko mpaka Ileje kabisa.
 
Atakuja kukuua huyo.
Mwenzio kaondoka kwa wema unaanza kumchokoza.
Maisha ya ndoa kama maisha ya wanyama mbugani kuviziana.
Huku Kuna jamaa wanatishiana kulogana na mkewe alafu jamaa akaja kuanguka chooni.
 
#DADAZ
 
Muonekano wake tu , unaonekana ana kiburi na bado hajakiacha

Na pia hekima hana , watu wakijua kuwa wana ukimwi then what.
Hekima ni mwalimu! Usipokuwa nayo hata kusolve mambo ya kifamilia hautaweza! Lazima utakwama tu!

Wanasema usifanye maamuzi ukiwa na hasira sana au ukiwa na furaha sana! Kama anaweza kuomba msamaha angetulia tu..
 
Asantee.

Huyu kataka kumtangaza tu mtu kuwa ana HIV.

Wale waroho wa mishangazi sasa huo mshangazi wa gridi la taifa.
Naona waliopita hapo presha juu na hivi kama walienda peku peku naaanina πŸ˜‚
 
Yawezekana kasema hivyo ili baba ivoni akose vinchunchuda
Ndio gear kubwa kaanzia nayo... Hata kama si kweli ana ugonjwa itamuharibia sana jamaa na kama na familia mpya moto utawaka. Kuna uwezekano anajua jamaa anafuraha mambo yake yanaenda ila anaharibu zaidi cause may be utu wa jamaa n caring yake anaijua.
Huyo dada ni hafai hata kurudiwa.
 
Kama si kweli anaweza kumfungulia kesi hapo.

Na hata kama ni kweli, kuna faragha ya mgonjwa imevunjwa.
 
Aliyekuwa anampa sababu ya kumfanyia kiburi mumewe ameshakula kona baada ya kulomba sana, sasa mlombwaji amebaki na mshangao πŸ˜‚
 
Huo ni mzoga ukiona mwanamke anapayuka mitandaoni bila aibu ni red flag kubwa
 
Tunakoelekea haya yatazidi wanawake wachache watakaoweza kuvuka salama hapa watamshukuru sana aliyewaumba.

Wamama wakishaanza ku-supply maandazi na chapati kavu mtaani huwaona waume zao kama vikaragosi ikitokea purukushani kama hivi ndiyo wanakumbuka walikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…