Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

Hata mimi siamini kama yule ni mwanajeshi kweli.
Mwanajeshi gani hata kujieleza ni tatizo?
Chengine, "anayetaka kunya hatangazi" unashtukia kanya tu.
Endelea kujifarij tu nyaa itagonga chupi soon...tangia lini mwanajeshi akajifunza speaking skills...wao na bunduki tu ndo ongea yao
 
Bandiko kubwa lakini halina akili
 
Vijibwa vya Samia mtatoa milio toka kila tundu ya miili yenu mama'e zenu wote
 
Wajinga ndiyo wanaoongoza hii icho,mfano mdogo kutoka mabasi ya mwendo kasi 200 mpaka kubaki 30,huu ni mfano wa akili ya huyu mleta maada
 
Wew utaelewa tu hiyo 29 October sasa hivi itakuwa ni ngumu sana kuelewa sema .

Mazuri yanakuja utaelewa soon
 
Wewe na timu yenu ya MSOGA ndiyo makanjanja.

Tupo pamoja na Capt. C.J Traore Tesha.
 
Wote mtatoka kwenye mashimo yenu!

 
Uwe na akiba ya maneno mkuu
 
utaamini ukiwa kaburini na sio mbali sana kuanzia 29 oct hapo sio mbali
 
Kwa nchi iliopata uhuru kwa kuongea kama Tanzania; hii ni hatua muhimi ili kuhalarisha kijacho.
 
Kwa nchi iliopata uhuru kwa kuongea kama Tanzania; hii ni hatua muhimi ili kuhalarisha kijacho.
Wanaotaka kuongea hawapendekezi jeshi lichukue nchi.

That is a contradiction.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…