Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

Mleta mada hivi una elimu gani? kumradhi Kwa kutoka nje ya mada.
 
...
 

Attachments

  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 28
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 27
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 22
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 22
  • downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 28
  • images - 2025-04-18T223508.093.jpeg
    10 KB · Views: 27
Mkuu unawakumbuka akina Joachim chinsano,Oliver tambo,sam nujoma,yoweri museven na Paul kagame?
Hawa wote waliishi uhamishoni kwanza
Hao wote walikuwa na strategy.

Hao wengi waliishi Dar es salaam na walisuka mipango na Nyerere.

Museveni alikuwa anaenda Ikulu Dar kama kwake. Mpaka nyumba aliyokuwa anakaa Upanga pale corner ya mtaa wa Mindu na Maliki ni apartment ya Ikulu mpaka leo. Alipewa kukaa buree.

Sam Nujoma alikaa Dar.

Chissano kakaa Dar, kalelewa na Nyerere. Anaongea Kiswahili mpaka leo.

Sasa Polepole ana strategy gani?
 
Sasa mazingira hayafanani,mambo ni tofauti kwa Kila kitu.
Sio lazima strategy za Hawa wa Leo wewe uzijue.
Tutakuja kujua mwisho wa mtanange huu,maana lazima mwisho utafika.
Zamani ilikua ni kabla ya Uhuru,
Sasa ni kudai denokrasia,
Zamani ilikua ni kuwapinga wakoloni,
Sasa ni kupinga ukandamizaji,
Zamani ni poor technology,
Sasa hivi ni high technology.
 
 
Sasa unajuaje kama kuna strategy au mnapelekwa ki mburula tu kwa viral videos ambazo hazina strategy?

Polepole kampiga mkwala Samia asigombee urais, ama sivyo atakinukisha. Atamwaga mboga.

Samia kagombea urais.

Polepole amefanya nini?
 
Kanjanja ndio akina nyie chawa wa bei chee
 
Hii takataka nimeona kwenye account ya Mlawa kule X sasa najua kweli awamu ile wewe na baba yako ndio ilikuwa michezo yenu kwenye serikali ya jiwe.
 

Toka maktaba :

Toka maktaba :
Amb. Major General Wilbert Augustine Ibuge. Mwanajeshi ambaye ni mwanazuoni, mwalimu wa sayansi ya siasa pia mwanadiplomasia mahiri balozi meja jenerali Wilbert Ibuge akiongea na madiwani


View: https://m.youtube.com/watch?v=6OYXEMCtsGc
  • Ambassador Maj. Gen. Ibuge is currently a Ph.D. Candidate at the Department of Political Science and Public Administration of the University of Dodoma.
  • Gen. Ibuge also holds a Bachelor of Arts (BA) in Political Science and Public Administration (Honours, First Class) and a Master of Arts (MA) in Political Science and International Relations from the University of Dar es Salaam.
  • The General is also a graduate of the South African National War College (SANWC) and holder of a National Diploma (Postgraduate) in Defence and Security Studies, SANWC, Pretoria Republic of South Africa.
  • NATIONALITY: Tanzanian.
 
WADAU WAVUTIWA NA DODOSO ZA CAPTAIN JC TESHA KATIKA HOTUBA YAKE YA KIHISTORIA


View: https://m.youtube.com/watch?v=AtNXP2P27MkUchambuzi wa captain JC Tesha kuhusu hali ya kisiasa, kiuchumi, kidemokrasia, mfumo wa haki jinai n.k umewagusa wengi, hii ni baadhi ya ushuhuda wa waliosikiliza hotuba ya kapteni John Charles Tesha
 
Sijakuuliza au kuandika kaongea la maana soma uelewe, usijibu kwa jazba za uchawa!!.
Uchawa umeingiaje tena hapa?
Kwamba kila unaetofautiana nae mawazo ni chawa?

Yule aliesema "Nchi ina wapuuzi wengi, alikua sahihi kumbe!
 
Tanzania kiboko lazima tuvunje record duniani, ndio mara ya kwanza katika history ya duniani mwanajeshi anataka kupindua anatuma barua ya maombi kwa mkubwa wake wapindue nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…