Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha majanga ndiyo wanaoweza kusema kitu nikaelewa, siyo weweKwa nchi yetu haina chochote cha kutoa, hosp zetu zenyewe dawa hakuna, wananchi pia hawana chakula, wengi wanakula mlo mmoja
Naweza pata hiyo clip madam?Masikini [emoji3064]
Nimeangalia video clip moja usiku,inaonyesha jengo linavyoshuka.
Nimeshindwa kuvumilia.
Tuwaombee wenzetu, Mungu awaponye haraka
Waliokufa wapumzike salama..
Na Mungu aendelee kuzilinda hizi nchi,haya majanga yasitokee tena.
Unamaanisha nini? Kwamba hili nalo pia ni la kutengeneza?Poland kupeleka vikosi vya uokoaji!
Edogan atapata akili sasa asiwe bega kwa bega na Putin
Kwenye epicenter destruction Huwa ni ndogo ukilinganisha na nje kule mawimbi yanapoenda kuishia..... epicenter ni huko Syria.Dah!.. epicenter yake itakuwa hapo Uturuki
Tangu lini serikali yetu ikawa wa kweliOfisi ya Waziri Mkuu kitengo cha majanga ndiyo wanaoweza kusema kitu nikaelewa, siyo wewe
Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha majanga ndiyo wanaoweza kusema kitu nikaelewa, siyo wewe
Possibly tens of thousands. Look hereBREAKING: United States Geological Survey estimates Turkey earthquake could end up resulting in thousands of deaths
Huyo siyo mtabiri bali ni mtafiti kama walivyo watafiti wengine. Anatumia vifaa vinaitwa "Early Warning Systems" ambavyo vina uwezo wa kutoa taarifa za hatari inayokuja ardhini au baharini, siku kadhaa nyuma. Ubaya tu ni kwamba vinatoa taarifa ili mujiandae na dharura kwa sababu huwezi ukazuia tetemeko au kimbunga. Hata hivyo vinasaidia kwa sababu mnaweza kupata nafasi ya kujiandaa kwa kuhamia sehemu nyingine salama na kuondoka kwenye eneo la hatariKuna huyu jamaa anaitwa Frank Hoogerbeets. Alitabiri (predict) hili tetemeko la ardhi katika nchi za Uturuki na Syria siku takribani mbili-tatu zilizopita.
Hoogerbeets ni mtafiti wa masuala ya matetemeko ya ardhi kutoka taasisi moja ya Uholanzi inayoitwa Solar System Geometry Survey (SSGEOS).
View attachment 2508473
Hata tetemeko linatambulika pia sawa tu na vimbunga isipokuwa vifaa vya kufanya kazi hiyo ni ghali mno. Vifaa vikipatikana, ni kazi rahis tu na unaweza hata ukam-train mtoto wa darasa la saba akawa anajua, providea awe anajua kutumia Komputa. Ni swala tu la kusoma taafifa kutoka kwenye computer ambayo imewekwa mahali, kitu ambacho mtu yeyeote anayejua kutumia kompyuta anaweza akafanyaAngalau vimbunga vina tambulika mapema mnachukua tahadhari mapema.
Ila kwenye tetemeko sijui mungu aliamuwa kutificha nn.
Hatar sana
Vifaa hivyo anavyotumia mtafiti huyu vitakuwa siyo vyake bali ni vya nchi ya Uholanzi. hayupo mtu aliye na hela za kumiliki vifaa vya aina hiyo, labda matajiri wakubwa kabisa duniani.