Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Wapumzike kwa amani aise hili janga lisikie tu kwa wengine tetemeko dogo tu likipita huo mtikisiko ni kama jitu, hapo huwa naona dunia ni kama iko juu ya kisosi, muda wowote kikitikiswa dunia haipo,
Na limekuwa na madhara zaidi sababi ni kubwa na halikusambaa parefu, balaa tupu
Na limekuwa na madhara zaidi sababi ni kubwa na halikusambaa parefu, balaa tupu