Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

kwa hiyo hili tetemeko limeletwa na Mungu?.
wajinga kama nyinyi ndio mnaofanya hoja za atheist wa hapa JF zionekane zina mantiki kuliko hoja za wanaoamini uwepo wa Mungu.

huna akili.
Kwa hyo tetemeko limeletwa na Nan ? Nataka kujifunza..Na ile ajali ya juzi korogwe imeletwa na Nan?
 
Mkuu usiwe serious sana na memba wa jf. Hiki ni kijiwe cha mtandaoni unayoyaona humu watu hawalingani nayo huko mitaana it is complete opposite.
Haya ya mitandaoni ndo yanaakisi yaliyoko mitaani maana watu walioko mitandaoni ndo walioko mitaani.

Maoni kama haya mitandaoni yana akisi jinsi jamii yetu ilivyo jaa watu wa hovyo.
 
"Na kama hivyo kukamata kwa mola wako pindi anapoikamata miji na hali ya kuwa miji hiyo ni yenye kudhulumu {kutenda maovu}hakika kukamata kwake ni kuchungu na kukali mno!."
Qur'an 11:102

"Je, wamejiaminisha watu wa miji, kuwa adhabu yetu haitawafika usiku, hali ya kuwa wao wamelala?."
Qur'an 7:97

"Na pindi tukitaka kuuangamiza mji wowote sisi huwaamrisha wale wenye uwezo na mamlaka, basi wao huendelea kutenda maovu humo, hapo kauli huthibiti juu ya mji huo, nasi tukauangamiza kuungamiza kabisa!."
Qur'an 17:16

"Na wakati walipoyaacha yale waliyoonywa kwayo tuliwafungulia juu yao milango ya kila kitu {maisha mazuri}, mpaka walipofurahi {kwa kiburi} kwa yale waliyopewa, tuliwaadhibu wao kwa ghafla! basi ghafla wakawa wao ni wenye kukata tamaa."
Qur'an 6:44


Wakuu tumuogopeni allah uwezo wake ni mkubwa mno sekunde 90 tu maelfu wamefariki?.

إنا لله وإنا إليه راجعون.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watu wapuuzi sana! Kurani ni kitabu tu
Nashangaa Ktk mambo kama haya bado kuna watu mnaleta kejeli za kidini wakati kuna maisha ya watu kibao yamepotea bila kupenda ,haujui Kesho wake na wewe una ndugu na wazazi au watoto hivyo haipendezi mtu kukufanyia kejeli ikitokea hali kama hizo hata wewe hauko salama endapo kitu kama hiko kikitokea kwako ,tuombe sana Mwenyezi Mungu atuepeshe..
 
Wacha kelel wew mvaa Kobazi hayo ni majanga ya asili Quran ilichomwa na mabwenyenye huko sweden na waNakula kuku kwa mirija wakijiandaa kupeleka msaada hapo turkey 🇹🇷 hao wanaokufa hapo uturuki ni waislamu wenzio tena uislamu wanaujua na waliupigania kwa upanga kipindi hiyo inaitwa Ottoman walifika hadi israel wakislimisha watu kwa upanga kabla babu yako hapo bagamoyo hajafikiwa na kina sultani
Acha kukurupuka uliyemQuote siyo Muislamu ni mtu ambaye ameuliza hilo swali kea ajili ya kukejeli uislamu kwa uelewa wako mdogo au chuki na wewe ukajibu kwa mihemko .
 
HAKA KATETEMEKO SIKU MOJA KAVUTE BANGI KAPITE PALE MASHARIKI KATE KAWAFYAGIE WALE WOTE WAISHIO PALE NA MWEMBWE ZAO ZA KUONEA WENZAO.ERDOGAN KAPATA ZA USO TOKA KWA MUUMBA.
Hakawezi kuelekea kwa watu wa haki, katapita kwa Mashoga wa magharibi
 
Poland kupeleka vikosi vya uokoaji!

Edogan atapata akili sasa asiwe bega kwa bega na Putin
Hilo tetemeko limeletwa na Sweden? 🤣 Hebu ficha utoto hata kwa mbali basi.
 
Sababu kuu ya kutokea matetemeko makubwa makubwa kule uturuki hususani hili la jana ni kwamba nchi ya uturuki ipo kati kati baina ya Arabian plate na Eurasian plate, kwaiyo haya maplate mawili huwa yana-converge each other au yana-collide other au kwa lugha nyepesi huwa yanagongana kwaiyo kile kitendo cha kugongana kwa haya maplates mawili ndio inapelekea ardhi kutetemeka na kupelekea athari mbalimbali ikiwemo kuharibika kwa majengo.
 

Attachments

  • Fault2PlateMap.jpg
    Fault2PlateMap.jpg
    187.4 KB · Views: 4
Kuna jamaa alitoa taarifa ya kitafiti siku takribani mbili kabla kuhusu hili tetemeko. Taarifa zake nimezileta katika post yangu kabla ya hii.
Kafanya kazi kubwa sana ila bado. Sooner or later unaufanya uwe utabiri zaidi kuliko utafiti wa kisayansi.
 
Sababu kuu ya kutokea matetemeko makubwa makubwa kule uturuki hususani hili la jana ni kwamba nchi ya uturuki ipo kati kati baina ya Arabian plate na Eurasian plate, kwaiyo haya maplate mawili huwa yana-converge each other au yana-collide other au kwa lugha nyepesi huwa yanagongana kwaiyo kile kitendo cha kugongana kwa haya maplates mawili ndio inapelekea ardhi kutetemeka na kupelekea athari mbalimbali ikiwemo kuharibika kwa majengo.
 

Attachments

  • Fault2PlateMap.jpg
    Fault2PlateMap.jpg
    187.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom