Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Ila Mungu ana nguvu za ajabu na kushangaza sana lakini binadamu wa siku hizi tunamchukulia poa sana.

Hilo tetemeko limepiga sekunde 90 tu,je lingepiga nusu saa so nchi nzima ungeangamia?
Acha tu mkuu....ni muhimu kumshukuru Mungu kwa uhai wako tu.
 
Kati ya kitu wenye brains so far wameshindwa ku-detect ni tetemeko kabla halitokea. Taarifa hutolewa limeshatokea na kuleta madhara ila sio kabla! Mungu ajalie akatuzalishie kizazi chenye akili hizo waje na solution.
Ila kuweza mpaka kupima ukubwa wake bado wamejitahidi mno.....Kama hata wanaweza kupima na kutoa viashiria vya Tsunami au vimbunga vikubwa bado pia wametusaidia Sana hawa wataalamu.
 
Katika maisha ya kawaida dakika inaweza kuonekana nothing. Kujua how long a minute is ni majanga kama haya; a minute becomes a century! Pole nyingi sana kwao; majanga hayana mwenyewe!
Hiyo ni kweli..,hata ajari zinazochukua roho za wapenda wetu Huwa zinasababishwa na makosa yaliyofanyika ndani ya sekunde zisizozidi 5 tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ila Mungu ana nguvu za ajabu na kushangaza sana lakini binadamu wa siku hizi tunamchukulia poa sana.

Hilo tetemeko limepiga sekunde 90 tu,je lingepiga nusu saa so nchi nzima ungeangamia?
kwa hiyo hili tetemeko limeletwa na Mungu?.
wajinga kama nyinyi ndio mnaofanya hoja za atheist wa hapa JF zionekane zina mantiki kuliko hoja za wanaoamini uwepo wa Mungu.

huna akili.
 
Ila Mungu ana nguvu za ajabu na kushangaza sana lakini binadamu wa siku hizi tunamchukulia poa sana.

Hilo tetemeko limepiga sekunde 90 tu,je lingepiga nusu saa so nchi nzima ungeangamia?
Sisi Wacha tuendelee kusifu ubora na nguvu ya hypersonic missile!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tetemeko jingine (dogo) limehisiwa Buffalo, New York (Marekani), kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali.

Inasemekana kuwa matetemeko ya ardhi yaliyotokea Uturuki na Syria yamesababisha mvurugano mkubwa sana ardhini, unaopelekea matetemeko mengine madogo ya ardhi kuhisiwa maeneo mengine ya dunia.
 
Kuna huyu jamaa anaitwa Frank Hoogerbeets. Alitabiri (predict) hili tetemeko la ardhi katika nchi za Uturuki na Syria siku takribani mbili-tatu zilizopita.

Hoogerbeets ni mtafiti wa masuala ya matetemeko ya ardhi kutoka taasisi moja ya Uholanzi inayoitwa Solar System Geometry Survey (SSGEOS).

rrrttteeerrr.png
 
Hilo tetemeko nahofia litasababisha vifo vya hadi watu 10,000. Limetoklea usiku na ukizingatia lililopita miaka ya 90 liliua 20,000 na Richter scale yake ilikuwa ndogo points kadhaa kuliko hili
 
Kati ya kitu wenye brains so far wameshindwa ku-detect ni tetemeko kabla halitokea. Taarifa hutolewa limeshatokea na kuleta madhara ila sio kabla! Mungu ajalie akatuzalishie kizazi chenye akili hizo waje na solution.
Kuna jamaa alitoa taarifa ya kitafiti siku takribani mbili kabla kuhusu hili tetemeko. Taarifa zake nimezileta katika post yangu kabla ya hii.
 
Back
Top Bottom