Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Kuna huyu jamaa anaitwa Frank Hoogerbeets. Alitabiri (predict) hili tetemeko la ardhi katika nchi za Uturuki na Syria siku takribani mbili-tatu zilizopita.

Hoogerbeets ni mtafiti wa masuala ya matetemeko ya ardhi kutoka taasisi moja ya Uholanzi inayoitwa Solar System Geometry Survey (SSGEOS).

View attachment 2508473
Duh!! Huyo jamaa ameula!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna huyu jamaa anaitwa Frank Hoogerbeets. Alitabiri (predict) hili tetemeko la ardhi katika nchi za Uturuki na Syria siku takribani mbili-tatu zilizopita.

Hoogerbeets ni mtafiti wa masuala ya matetemeko ya ardhi kutoka taasisi moja ya Uholanzi inayoitwa Solar System Geometry Survey (SSGEOS).

View attachment 2508473
Huyu ndiye anayetakiwa kukamatwa na kuhojiwa
 
Kati ya kitu wenye brains so far wameshindwa ku-detect ni tetemeko kabla halitokea. Taarifa hutolewa limeshatokea na kuleta madhara ila sio kabla! Mungu ajalie akatuzalishie kizazi chenye akili hizo waje na solution.
Angalau vimbunga vina tambulika mapema mnachukua tahadhari mapema.

Ila kwenye tetemeko sijui mungu aliamuwa kutificha nn.
 
Hii ni vita ya kiuchumi

Marekani na washirika wake hawa kulidhika na kuharibu maandiko matakatifu sasa wametuma tetemeko
Usiingize siasa kwenye majanga ya aina yoyote mfano hili, kufanya hivyo ni sawa na ugaidi. Yaani kutumia vitisho vya maafa kwa marengo ya kisiasa. Acha kabisa na usirudie tena! Hata kama ni utani hapa si mahala pake
 
Dah kwa athari hizi hata watu elfu kumi na kitu watafika aisee hali ni mbaya.
FB_IMG_16756897051678997.jpg
FB_IMG_16756897004773137.jpg
FB_IMG_16756896964632068.jpg
FB_IMG_16756896865673321.jpg
FB_IMG_16756896810254769.jpg
FB_IMG_16756896752183573.jpg
FB_IMG_16756896639016478.jpg
FB_IMG_16756896574187737.jpg
FB_IMG_16756896522296143.jpg
 
Ila jamii ya kiafrika imejaa majitu mapumbavu ,yaani hata kwenye majanga ya asili ambayo yameuwa maelfu ya watu tiyari watu wameshaanza kuleta kejeri dhidi ya dini za watu kana kwamba tetemeko limeletwa na dini?

Alafu unakuta ni majitu mazima yenye familia lakini yamejaa akili za hovyo.
Mkuu usiwe serious sana na memba wa jf. Hiki ni kijiwe cha mtandaoni unayoyaona humu watu hawalingani nayo huko mitaana it is complete opposite.
 
Kati ya kitu wenye brains so far wameshindwa ku-detect ni tetemeko kabla halitokea. Taarifa hutolewa limeshatokea na kuleta madhara ila sio kabla! Mungu ajalie akatuzalishie kizazi chenye akili hizo waje na solution.
Yeah huwa wanabashiri kuhusu after shocks tu, na after shocks ndio mbaya
 
Kuna huyu jamaa anaitwa Frank Hoogerbeets. Alitabiri (predict) hili tetemeko la ardhi katika nchi za Uturuki na Syria siku takribani mbili-tatu zilizopita.

Hoogerbeets ni mtafiti wa masuala ya matetemeko ya ardhi kutoka taasisi moja ya Uholanzi inayoitwa Solar System Geometry Survey (SSGEOS).

View attachment 2508473
Nimefatilia aiseee imebidi nimfollow.

Hawa ndo watafiti haswa
 
Kuna huyu jamaa anaitwa Frank Hoogerbeets. Alitabiri (predict) hili tetemeko la ardhi katika nchi za Uturuki na Syria siku takribani mbili-tatu zilizopita.

Hoogerbeets ni mtafiti wa masuala ya matetemeko ya ardhi kutoka taasisi moja ya Uholanzi inayoitwa Solar System Geometry Survey (SSGEOS).

View attachment 2508473
Kwanini walipuuzia sasa?
 
Wakamchukulia poa km alikua anataka kuichoma Moto 🔥 Qur'an vile yaan kumbe,
 
Back
Top Bottom