Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Dots zaonesha lilipopita
20230206_142427.jpg
 
Wacha kelel wew mvaa Kobazi hayo ni majanga ya asili Quran ilichomwa na mabwenyenye huko sweden na waNakula kuku kwa mirija wakijiandaa kupeleka msaada hapo turkey [emoji1250] hao wanaokufa hapo uturuki ni waislamu wenzio tena uislamu wanaujua na waliupigania kwa upanga kabla babu yako hapo bagamoyo hajafikiwa na kina sultani
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watu wapuuzi sana! Kurani ni kitabu tu
 
Ila jamii ya kiafrika imejaa majitu mapumbavu ,yaani hata kwenye majanga ya asili ambayo yameuwa maelfu ya watu tiyari watu wameshaanza kuleta kejeri dhidi ya dini za watu kana kwamba tetemeko limeletwa na dini?

Alafu unakuta ni majitu mazima yenye familia lakini yamejaa akili za hovyo.
 
Ripoti za idadi ya waliofariki inaendelea kuongezeka kufuatia Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha Richa, kuzipiga Uturuki na Syria usiku wa kuamkia Februari 6, 2023.

Watu zaidi ya 2,900 wameripotiwa kufariki Nchini Uturuki huku zaidi ya 15,000 wakijeruhiwa. Upande wa Syria Imeripotiwa waliofariki ni zaidi ya watu 1,400.

Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk-yeol amesema Nchi yake itatuma timu ya waokoaji na vifaa vya matibabu ya dharura Nchini Uturuki ili kusaidia uokoaji unaoendelea.

---------

Wakati shughuli za Uokoaji zikiendelea baada ya kutokea Tetemeko lenye kipimo cha Richa 7.8, zoezi hilo linaanza kukabiliwa na ugumu kutokana na Mamia ya watu kunaswa kwenye vifusi.

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema idadi ya vifo nchini humo inaendelea kuongezeka hivyo hawezi kutoa taarifa za madhara kiasi gani yatatokea kwa kuwa uokoaji unaendelea.

Zaidi ya watu 5000 wamejeruhiwa na wengine bado hawajulikani walipo na wana hali gani. Nchi za Cyprus, Misri na maeneo ya Lebanon yamepata mtikisiko kutokana na Tetemeko hilo.

=================

A major earthquake of magnitude 7.8 struck southeastern Turkey and northwest Syria, killing more than 1,400 people and injuring hundreds in both countries as buildings collapsed across the region, triggering searches for survivors in the rubble.

The earthquake hit near the Turkish city of Gaziantep at 4:17am local time (01:17 GMT) on Monday, as people were sleeping, at a depth of about 17.9km (11 miles). It was also felt as far as Cyprus, Egypt and Lebanon.

Turkish President Recep Tayyip Erdogan said the death toll in the country has risen to 912, while 5,383 people have been wounded. The president said he could not predict how high the casualty numbers would rise.

Authorities have declared a “level 4 alarm” that calls for international assistance. A second earthquake of magnitude 7.6 followed a few hours later amid several aftershocks, the country’s Disaster and Emergency Management Authority (AFAD) said, adding that the epicenter of the quake was Elbistan region of Kahramanmaras province.
INTERACTIVE-Turkey-Syria-earthquake-location.png

Search and rescue teams were immediately dispatched to the areas hit by the earthquake, the president said earlier. Turkey’s defence ministry said the country’s armed forces have established an air corridor to enable medical and rescue teams to reach the earthquake-hit areas.

Turkish Interior Minister Suleyman Soylu said there had been at least six aftershocks and urged people not to enter damaged buildings due to the risks.

“Our priority is to bring out people trapped under ruined buildings and to transfer them to hospitals,” he said.

Videos shared on social media showed harrowing images of buildings reduced to piles of rubble in several cities in Turkey’s southeast. Broadcasters TRT and Haberturk showed images of people gathered around destroyed buildings in the town of Kahramanmaras, looking for survivors. Other images showed people taking shelter in their cars on the side of snow-covered roads.
 
Back
Top Bottom