Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

TURKEY EARTHQUAKE

- 7.8 magnitude quake in country's south

- Felt as far as Israel, Iraq, Egypt and Cyprus

- Over 600 people dead in Turkey and Syria, fears toll could rise into thousands

- 1710 buildings destroyed in Turkey

- Turkey calls for international assistance
 
Hongera Mwaarabu mweusi. Hii lugha wachache sana wanaijua
Please, rudi katika lengo la uzi. Hiyo ni sehemu ya aya katika Qur'an. Na ni neno tunalolisema unapotokea msiba likimaanisha "We belong to Allah and to Him we shall return" au kwa Kiswahili "Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea".

Haya turudi katika uzi.
 
Mambo mengine magumu sana.
 
Back
Top Bottom