Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa la ardhi la kipimo cha 7.9 limepiga katikati mwa Uturuki na Kaskazini-Magharibi mwa Syria siku ya Jumatatu, na kuua maelfu ya watu na kujeruhi mamia wakati majengo yakiporomoka


Uokoaji wa walionusurika kwenye vifusi katika eneo hilo lenye theluji unaendelea.

Shirika la maafa la Uturuki limesema watu 76 wameuawa, na 440 wamejeruhiwa, wakati mamlaka ilipotawanya timu za uokoaji na kusambaza ndege katika eneo karibu na mji wa Kahramanmaras, huku ikitangaza "kiwango cha 4 ya uokoaji" inayotaka usaidizi wa kimataifa.

Vyombo vya habari vya serikali ya Syria vimesema kuwa idadi kubwa ya majengo yameporomoka katika jimbo la Aleppo, huku chanzo cha habari katika utumishi wa umma cha Hama kikisema kuwa majengo pia yameporomoka huko.

UPDATES
Vifo zaidi ya 100 upande wa Uturuki, 39 Upande wa Syria huku watu wengi wakiwa bado chini ya vifusi.

Italia yaonya kuwa tsunami yaweza tokea kutokana na tetemeko hilo

 
Ficha ujinga wako.
You have to stick kwenye mada.
Screenshot_20230206-131402.png


After 5 days kaboom tetemeko la Ardhi latokea Uturuki, don't play with Sweden
 
HAKA KATETEMEKO SIKU MOJA KAVUTE BANGI KAPITE PALE MASHARIKI KATE KAWAFYAGIE WALE WOTE WAISHIO PALE NA MWEMBWE ZAO ZA KUONEA WENZAO.ERDOGAN KAPATA ZA USO TOKA KWA MUUMBA.
 
EU yatuma vikosi 10 vya uokozi

India yajiandaa kupeleka madawa
 
Back
Top Bottom