Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha majanga ndiyo wanaoweza kusema kitu nikaelewa, siyo wewe
IMG-20221122-WA0005.jpg
 
Kuna huyu jamaa anaitwa Frank Hoogerbeets. Alitabiri (predict) hili tetemeko la ardhi katika nchi za Uturuki na Syria siku takribani mbili-tatu zilizopita.

Hoogerbeets ni mtafiti wa masuala ya matetemeko ya ardhi kutoka taasisi moja ya Uholanzi inayoitwa Solar System Geometry Survey (SSGEOS).

View attachment 2508473
Huyo siyo mtabiri bali ni mtafiti kama walivyo watafiti wengine. Anatumia vifaa vinaitwa "Early Warning Systems" ambavyo vina uwezo wa kutoa taarifa za hatari inayokuja ardhini au baharini, siku kadhaa nyuma. Ubaya tu ni kwamba vinatoa taarifa ili mujiandae na dharura kwa sababu huwezi ukazuia tetemeko au kimbunga. Hata hivyo vinasaidia kwa sababu mnaweza kupata nafasi ya kujiandaa kwa kuhamia sehemu nyingine salama na kuondoka kwenye eneo la hatari

Haya majanga ya aina hii yasikie tu yakiwa yanatolewa taarifa, hutakiwi kabisa kuyashuhudia. Yaani unatakiwa umkabe Mungu shingoni kabisa na siyo kiunoni tu huku ukimwambia kuwa kwa matukio ya aina hii, Mungu wangu sikuachii shingo yako katika kuhakikisha kuwa unanilinda na matukio haya
 
Angalau vimbunga vina tambulika mapema mnachukua tahadhari mapema.

Ila kwenye tetemeko sijui mungu aliamuwa kutificha nn.
Hata tetemeko linatambulika pia sawa tu na vimbunga isipokuwa vifaa vya kufanya kazi hiyo ni ghali mno. Vifaa vikipatikana, ni kazi rahis tu na unaweza hata ukam-train mtoto wa darasa la saba akawa anajua, providea awe anajua kutumia Komputa. Ni swala tu la kusoma taafifa kutoka kwenye computer ambayo imewekwa mahali, kitu ambacho mtu yeyeote anayejua kutumia kompyuta anaweza akafanya

Possibly kuna haja ya kuishauri Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, waandae mpango wa kununua vifaa hivi hata baadaye. Ni rahisi mno kusoma taarifa vifaa vikishakuwepo, mtu yeyote anaweza akafundishwa na akasoma na hazihitaji utaalamu wowote

Still, watu wa mamlaka ya hali ya hewa tayari wao ni wataalamu wanaoweza kufanya kazi hiyo vifaa vikishakuwepo. Mama Kijazi anao wataalamu kibao pale ofisini kwake
 
Duh!! Huyo jamaa ameula!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vifaa hivyo anavyotumia mtafiti huyu vitakuwa siyo vyake bali ni vya nchi ya Uholanzi. hayupo mtu aliye na hela za kumiliki vifaa vya aina hiyo, labda matajiri wakubwa kabisa duniani.

Zaidi ni kuwa Uholanzi wao hawana matetemeko kwa sababu walifukia bahari halafu ndiyo wakajenga. Tatizo lao labda ni vimbunga tu vinavyoweza kusababisha mafuriko kwa sababu wako below sea level.

Kwa Uholanzi, mtaffiti huyu atakuwa ni zaidi ya Almasi. Hiki ki nchi ni kiodgo mno lakini kwa Technology, possibly hata Marekani anaweza kuwa anamzidi Uholazni kwa Teknolojia yanga tu lakini kwa mambo mengine Uholazi wako juu duniani siyo kawaida. Nawakubali sana hawa watu kwa kiwango cha juu sana. Wako smart kuanzia kichwani hadi kwenye muonekano wa Mazingira.

Hawa watu waache kabisa
 
Back
Top Bottom