Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Si waliipiga Moto 🔥 hii? Nasikia ukiipiga Moto 🔥 yanakukuta makuu sasa imekuaje waliochoma hawajapatwa na tetemeko Ila waliolalamika kuchomewa Qur'an ndio yamewakuta matetemeko?
Ungejua uturuki wakristo ni wengi wa kutosha usingesema, na sababu ya tetemeko huwa ni kuzidi madhambi kuunganisha tukio la sweden na na tetemeko la uturuki naona ni kupoteza muda.
 
Mkuu acha kubishana na huyo mpumbavu ikiwezekana piga bani kabisa.
 
We don't have records, si ajabu kwa nchi hizi mwenyezi Mungu alitenga ardhi yake ili kuruhusu Dunia kupumua, si ajabu tetemeko kama hili likatokea tena miaka 3,000 ijayo - nani ataweka records ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…