Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Yaan shape kivipi? FafanuaShape mkuu, hakuna Quran bandia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan shape kivipi? FafanuaShape mkuu, hakuna Quran bandia
Yaan shape kivipi? Fafanua
Ukikua utajua haya mambo,Unawapangia watu cha kusema ?
Sweden ameenda kutoa rambirambi Turkey au bifu bado linaendelea?Ukikua utajua haya mambo,
Ungejua uturuki wakristo ni wengi wa kutosha usingesema, na sababu ya tetemeko huwa ni kuzidi madhambi kuunganisha tukio la sweden na na tetemeko la uturuki naona ni kupoteza muda.Si waliipiga Moto 🔥 hii? Nasikia ukiipiga Moto 🔥 yanakukuta makuu sasa imekuaje waliochoma hawajapatwa na tetemeko Ila waliolalamika kuchomewa Qur'an ndio yamewakuta matetemeko?
Mkuu acha kubishana na huyo mpumbavu ikiwezekana piga bani kabisa.Elimu ya kujua yote hayo umeitoa wapi na unaweza kuweka ushahidi ?
Ni katika ujinga wa mtu kuzua na kuzungumza mambo pasipo na ushahidi.
Waliokufa wanahusika vipi na hilo wakati kuna wengine ni wakiristo na atheist na Waislamu wasiolalamika mbona wamefariki na hilo janga ?
Kwa kuongeza eneo liliotokea maana karibu na mpaani mwa Syria kwa asilimia kubwa linakaliwa na Kurdish people ambao Sweden inawaunga mkono na wanauhasama na serikali ya Turkey..
Ungejua uturuki wakristo ni wengi wa kutosha usingesema, na sababu ya tetemeko huwa ni kuzidi madhambi kuunganisha tukio la sweden na na tetemeko la uturuki naona ni kupoteza muda.
Sweden kashifika kutoa rambirambi au bado?Mkuu acha kubishana na huyo mpumbavu ikiwezekana piga bani kabisa.
He is just trolling motor and transmission fluid and clear just like that?Fello muslims Kazakh destroyer adriz naomba mumpuuzie huyu member Ambivert88. The guy is trolling trying to get cheap popolarity. He is just trolling mpuuzeni
I get your point mkuu.Fello muslims Kazakh destroyer adriz naomba mumpuuzie huyu member Ambivert88. The guy is trolling trying to get cheap popolarity. He is just trolling mpuuzeni
From Turkey or Syria?I get your point mkuu.
Una hakika ameshindwa?Mnaosema Mungu awarehemu sijui awaponye, kama kashindwa kuwaokoa na tetemeko atawezaje kuwaponya.
Mkuu kwani Majaliwa hafai kwenye hii kazi ili awe shujaa wa Dunia?Mkuu kuwa serious sisi tupeleke hao wataalamu 10 wa uokozi wa level za kidunia tunawatoa wapi, au unataka tukapate aibu huko duniani.
Sasa mkuu kule atatoa watu kwenye vifusi kwa kasia?.Mkuu kwani Majaliwa hafai kwenye hii kazi ili awe shujaa wa Dunia?
Hujasoma nilichoandika? Stick with God in every situationPoint yako nini?
.................... with fully contentment or fully dissatisfaction?Duh speechless.