Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Syria hali itakuwa mbaya maana hadi muda huu mpaka pekee umefungwa, hivyo misaada imeshindwa wafikia.
Pia hakuna nchi inaruhusiwa kwenda huko
Doooh
Sasa si waruhusu watu waingie wakawaokoe
 
Vifo vimevuka 9,000

Watu zaidi ya 100,000 hawajulikani walipo

Bado watu wamefukiwa

Misaada mbali mbali inaendelea kutua
yani watu afu9
na laki1 hawajulikani walipo aiseee [emoji114] Mungu atuepushe..
majanga ya asili mabaya sana maana yanasafisha vizazi
 
Huyu mzee kwenye picha ameshikilia mkono wa binti yake wa miaka 15 ambaye bado amefunikwa kifusi lakini tiyari amesha fariki nadhani huyu mzee hataki kuamini anacho kiona.
 
Vifo vimefikia 11,000.
Zoezi la uokozi litachukua muda mrefu
Hadi leo watu zaidi ya 17000 waondolewa ndani ya vifusi
 
Vifo vimefikia 11,000.
Zoezi la uokozi litachukua muda mrefu
Hadi leo watu zaidi ya 17000 waondolewa ndani ya vifusi

Wapo watanzania wanaosoma na wanaoishi sehemu hizo ?? Kuna habari yoyote kuhusu wao ??
 
Watoto ni malaika
Watoto kuna favor ya pekeyao wanayo aisee


Nakumbuka Kuna kipindi tulipata msiba,
Ule muda alifariki marehemu mtoto Aliangua sana kilio kikali.
Tukawa tunamnyamazisha.

Baadaye kuja kufatilia taarifa,kumbe ule muda mtoto Analia,ndio muda ambao kule alikuwa anakata moto.
 
watu 11,200 hiyo si sawa na bom la nuclear? Mungu atusaidie haswa!
 
Ungejua uturuki wakristo ni wengi wa kutosha usingesema, na sababu ya tetemeko huwa ni kuzidi madhambi kuunganisha tukio la sweden na na tetemeko la uturuki naona ni kupoteza muda.
Wewe mfia dini kayafa mpuuzi,nani alikudanya kuwa chanzo au sababu za tetemeko ni kuzidi kwa madhambi,huko makanisani na misikitini kumbe mnajifunza upuuzi namna hii!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…