Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Syria hadi muda huu misaada haiendi sababu ya vikwazo ilivyowekewa kutokana na vita.
 
Waokoaji kutoka nchi zingine waongezeka na kufikia 8000
 
Wapo watanzania wanaosoma na wanaoishi sehemu hizo ?? Kuna habari yoyote kuhusu wao ??
kuna binamu yangu ni mdangaji, na kuna madanguro huko ya kutosha ila upamde huo wanasema limepita kwao ila ni dogo kwahiyo hawajaathirika ila wanaishi kwa mashaka
 
Ila watu wanajua jilipua maisha.

Ila kwa hii miezi 3 bora warudi maana emergency imetangazwa.
Uchumi utashuka sana
mdo mana nilimwambia mana ni ndugu yangu mtoto wa mamdogo ila naona kama anataka kubisha mana walitaka wahamie nchi ingine kabla ya mambo haya..

wanajilipua sana kuna hao wanawalipia nauli na kuwatengenezea passport
wakifika wanafanya umalaya wanawalipa afu ndo maisha yanaanza..
 
Maisha ndo hivyo unajilipua tu. Hawa pisi kali wengi wanauzwa kwa kupenda maisha ya mteremko
 
Vifo vimevuka 16,000

Theruji na baridi, ubovu wa miundombinu etc

Vifo vingi vimetokea upande wa Turkiye

Reli kadhaa zimepishana kwa hadi 5mts, barabara nazo hivyo hivyo
 
Naona kuna uwezekano vifo vikafika hata 50k.Hivi vifusi, sehemu ambazo hawajazifikia na zote zina watu wamefukiwa na speed ya uokoaji inatia mashaka sana kwa uhai wa waliopo chini ya vifusi hivyo.
 
Wamarekani walisema kuwa vifo vitakuwa zaidi ya 20000,
Walisema masaa 2 baada ya tetemeko kutokea

Rais wa Uturuki alisema kuwa hali ni mbaya kuliko 1939 ambapo walikufa watu 30,000

Pia wananchi wamelalamika kuchelewa kwa usaidizi na uokozi, Rais amesema kuwa tatizo ni njia zilikuwa hazipitiki

Bulldozers na Lifters au Winch ni chache sana, hazitoshelezi
 
Ndevu gani hizo mkuu unajibu hoja ngumu kwa majibu mepesi wewe, eti mtu mzima,my foot!!
Si kila hoja itajibiwa kwa mujibu wa fani yako ya ualimu wa shule ya msingi, mambo mengine ni mazito yamekuzidi maarifa so lazima ushangae, wewe unapokaa hapa kuzungumzia tectonic plates umewahi kuziona?.
 
Wamarekani walisema kuwa vifo vitakuwa zaidi ya 20000,
Walisema masaa 2 baada ya tetemeko kutokea

Rais wa Uturuki alisema kuwa hali ni mbaya kuliko 1939 ambapo walikufa watu 30,000

Pia wananchi wamelalamika kuchelewa kwa usaidizi na uokozi, Rais amesema kuwa tatizo ni njia zilikuwa hazipitiki

Bulldozers na Lifters au Winch ni chache sana, hazitoshelezi
Imekuwa worse sababu tetemeko limetokea usiku watu wakiwa wamelala,jengo linashuka na watu wote wakiwa ndani.Ingekuwa mchana pengine kungekuwa na afadhari kidogo.
 
Back
Top Bottom