Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

mdo mana nilimwambia mana ni ndugu yangu mtoto wa mamdogo ila naona kama anataka kubisha mana walitaka wahamie nchi ingine kabla ya mambo haya..

wanajilipua sana kuna hao wanawalipia nauli na kuwatengenezea passport
wakifika wanafanya umalaya wanawalipa afu ndo maisha yanaanza..
Pole, huyo ashakuwa professional muuza kyum, hawezi kukuelewa.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Duuuh!!!!!! Sad news kwakweli M/mungu awape qauli thabiti waliopoteza maisha pamoja na kuwapa ahueni majeruhi.

Hakika sisi wote ni Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
Fello muslims Kazakh destroyer adriz naomba mumpuuzie huyu member Ambivert88. The guy is trolling trying to get cheap popolarity. He is just trolling mpuuzeni
Japo jamaa anaongea kimuzaha lakini bado anayo point. Hivi hili janga lingeikuta nchi ya Sweden ambayo majuzi Walichoma Qur'an hivi Waislam WA Duniani kote hasa humu JF wangeliacha kuwakashifu kweli kwa kulihusisha na kuchoma kwao Qur'an? Hakika Mungu hapangiwi hizi dini ni usaniii tu, hazina nafasi mbele ya Mungu Bali roho ya binadamu. Mtenda mema anaweza kufa huku jambazi akifikisha umri WA miaka 100 licha ya ushenzi wake.
 
Japo jamaa anaongea kimuzaha lakini bado anayo point. Hivi hili janga lingeikuta nchi ya Sweden ambayo majuzi Walichoma Qur'an hivi Waislam WA Duniani kote hasa humu JF wangeliacha kuwakashifu kweli kwa kulihusisha na kuchoma kwao Qur'an? Hakika Mungu hapangiwi hizi dini ni usaniii tu, hazina nafasi mbele ya Mungu Bali roho ya binadamu. Mtenda mema anaweza kufa huku jambazi akifikisha umri WA miaka 100 licha ya ushenzi wake.
Mzaha kwenye msiba mkuu really?
Huyo member hakuna aliyekataa kuwa hana sound arguments nimewaambia waumini wenzangu wampuuze sababu alitaka kuuharibu uzi kwa kufanya "trolling" kuforce certain reactions kutoka kwa muslims ukiangalia comments zake zilikua zinalenga kuamsha mijadala ambayo kwenye uzi huu sio mahala pake. Uzi huu ni special kwa ajili ya kutoa updates kwa tetemeko lililowakuta ndugu zetu wa Turkey na Syria hayo mambo ya nani kachoma nini na kusababisha nini siyo mahala pake kwenye uzi huu mkuu.

Nimekujibu sababu umeniquote kwa kawaida sipendi kufanya midahalo ya kidini popote pale imani yangu moyoni mwangu.
 
Dah!...janga kubwa mno hasa huko Syria naona kama hawajapokea misaada mingi kama Uturuki.
Ila wanasiasa huwa ni watu wapumbavu sana na walio jaa ubinafisi eti nchi za Ulaya zimekataa kupeleka misaada nchini Syria kisa eti imewekewa vikwazo, mm ninacho jua huwa yakitokea maafa kipaumbele huwa ni kuokoa maisha ya watu na sio kuendeza siasa.
 
Naona kuna uwezekano vifo vikafika hata 50k.Hivi vifusi, sehemu ambazo hawajazifikia na zote zina watu wamefukiwa na speed ya uokoaji inatia mashaka sana kwa uhai wa waliopo chini ya vifusi hivyo.
Hasa huko Syria kama vile hawapewi kipaumbele kabisa.
 
Dah!...janga kubwa mno hasa huko Syria naona kama hawajapokea misaada mingi kama Uturuki.
Hawatapokea sababu ya vikwazo...

Ila jana Uturuki alifungua mipaka mingine
 
kuna binamu yangu ni mdangaji, na kuna madanguro huko ya kutosha ila upamde huo wanasema limepita kwao ila ni dogo kwahiyo hawajaathirika ila wanaishi kwa mashaka
Ni S*A*A

Ndiyo huyo?

Nimeficha baadhi ya herufi ili isijulikane kwa hadhira.
 
Japo jamaa anaongea kimuzaha lakini bado anayo point. Hivi hili janga lingeikuta nchi ya Sweden ambayo majuzi Walichoma Qur'an hivi Waislam WA Duniani kote hasa humu JF wangeliacha kuwakashifu kweli kwa kulihusisha na kuchoma kwao Qur'an? Hakika Mungu hapangiwi hizi dini ni usaniii tu, hazina nafasi mbele ya Mungu Bali roho ya binadamu. Mtenda mema anaweza kufa huku jambazi akifikisha umri WA miaka 100 licha ya ushenzi wake.
Nikusaidie kukujibu! Na nadhani bila shaka kwa asilimia kubwa pengine tunaweza tukalielewa hili. Na nitalijibu kwa munasaba wa mazingira ya hoja kwa maana fikra tofauti mlizobadilishana. Kwa msingi huo, hali ipo hivi:

Kupata mali au kuwa na maisha fulani ya hali ya juu haimaanishwi ndiyo kupendwa na Mungu. Au kutopatwa na majanga ya asili kama yanavyoitwa haimaanishi ndiyo kupendwa na Mungu. Mungu huwa anaadhibu kwa namna tofauti tofauti.

Unaweza ukawa na pesa nyingi na hali yako ya maisha ni nzuri tu. Kwa kuwa ukaenda tofauti na namna ambayo Mungu ameiridhia, Mungu anaweza akakukasirikia na adhabu yake wewe unaweza ukawa bakhili tu! Ubakhili kwa Mungu haufai. Yaani; una mali na Mungu kaamrisha tusaidiane na mtu huyu akajifanya ni mjanja zaidi Mungu anaweza akamtia adhabu ya ubakhili. Utajiona unaweza lakini kumbe ndiyo unapotea.

Firauni aliwatesa wana wa Yaaqub (Waisrael) mateso makubwa! Mungu akamtuma Nabii Musa amani ya Mungu iwe juu yake lakini bado firauni akaleta ukaidi. Lakini ukitizama maisha ya firauni yalikuwaje? Yalikuwa ni mazuri yasiyo na chembe za dhiki.

Pengine unaweza ukajiuliza kwa nini Mungu muda wote aliamua kumuacha awe na maisha hayo mazuri licha ya kuwatesa wana wa israel, kumletea ukaidi Mtume wake na akamletea ukaidi Mungu mwenyewe? Mungu ana namna zake za kuadhibu.

Wengine wanaweza wakawa na kila kitu, kwa kuwa wakaenda tofauti na Mungu, yeye Mungu anaweza akawakasirikia. Akawapa adhabu ya hofu tu! Maisha yao yote wanaishi kwa hofu! Uchumi wa nchi ni mzuri, maisha ya raia ni mazuri lakini taifa lenu likaishi kwa hofu kubwa mnoo!
Mtenda mema anaweza kufa huku jambazi akifikisha umri WA miaka 100 licha ya ushenzi wake.

Kwa namna nyengine kifo kinakuwa ni adhabu kutoka kwa Mungu. Kwa namna nyengine kifo si adhabu kutoka kwa Mungu. Nabii Ibrahim amani ya Mungu iwe juu yake alipoambiwa umri wake wa kuishi kwenye hii dunia umefikia kikomo. Akamwambia Mungu inakuwaje rafiki anamuuwa rafiki yake? Mungu akamjibu; inakuwaje rafiki hataki kukutana na rafiki yake?! Kwa kuwa Nabii Ibrahim ni muelewa akachagua kifo!

Again; kuna namna tofauti ya haya masuala! Muda mwengine uovu unapozidi na ufisadi ukaenea, Mungu kwa mapenzi yake huwachukua watendao mema ili wafanyao ufisadi wapoteee zaidi ili awaadabishe zaidi kwa namna tofauti tofauti atakayoiamua yeye mwenyewe.

Huu ni upande wa pili wa shilingi niliyokupa! Hayo mambo yapo dhahiri kama unavyoyaona. Muda mwengine mambo yapo baatwiin.

Na haiwezekani Mungu akawaleta duniani na kuwaacha tu mzagae! Binadamu ndani ya mwili wake amewekewa kisembuzi kutoka kwa Mungu. Hivyo, binadamu anafahamu zuri na anafahamu baya! Lakini Mungu hakukuacha hivyo tu bali amekupatia na msaada wa elimu. Elimu hii ni kutoka kwa Mitume yake kuwa binadamu aishi kwa kanuni na njia hizi. Huo mfumo wa elimu aliyotupatia ndiyo unaoitwa dini.

Mungu ana utaratibu wake aliyouweka kwa binadamu. Kama ilivyo serikali kwa raia au kitu chochote kilivyowekewa utaratibu wa kuendesha shughuli zake. Huu ni mfano mdogo tu.

Naam, Mungu ametuchagulia mfumo wa maisha kwa jinsi gani binadamu yamfaa aishi kwa kupitia elimu kutoka kwa Mitume yake. Huo mfumo aliyotuchagulia ndiyo unaoitwa dini. Na ni nini maana ya dini? Ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu.
 
Kwenye update ya uzi wako iweke story ya kile kichanga,, inasisimua sana
Kuna visa 3

Kuna mmoja wa siku 20, alikuwa bado ana zile karatasi za utambuzi wa mtoto, kakutwa baada ya masaa 40, ila mama yake kafa.

Kuna mwingine naye wa miezi 2 kakutwa jana ikiwa ni masaa 72 toka tukio litokee.


Nitaweka video pia na picha
 
Back
Top Bottom