Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Kuna visa 3

Kuna mmoja wa siku 20, alikuwa bado ana zile karatasi za utambuzi wa mtoto, kakutwa baada ya masaa 40, ila mama yake kafa.

Kuna mwingine naye wa miezi 2 kakutwa jana ikiwa ni masaa 72 toka tukio litokee.


Nitaweka video pia na picha
Ama hakika ni miujiza
 
Vifo vimefikia 23,000

Vifaa zaidi ya 5000 vimefika Turkey kusaidia uokozi.

Watu 115,000 wanatumika katika kusaidia okoa, na kutafuta wasioonekana
 

Sijaelewa kwenye ubahili...
Ubahili ni mbinu za utajiri boss

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…