Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site.

Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa

Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic bomb na tetemeko la ardhi lilitokea lenye ukubwa wa magnitude 6.3.

Japo mamlaka za Iran zimekaa kimya haijajulikana haswa ssbabu ya tetemeko hilo
 
Nachojua Myahudi akipenya humo ana-detonate lilipukie ndani kwa ndani...
 
Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site.

Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa

Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic bomb na tetemeko la ardhi lilitokea lenye ukubwa wa magnitude 6.3.

Japo mamlaka za Iran zimekaa kimya haijajulikana haswa ssbabu ya tetemeko hilo
Habari ya jana na siyo karibu na fordow
 
Aliyegundua bomu la nyukilia alaniwe maisha yake yote

Ona linavyosababisha vifo na mizozo ya kila pahala

Mzozo huu unatokana na uvumbuzi huo huo
Mzozo huu ni maslahi ya watu walewale wanaojiita wanademokrasia wala hauhusiani na nyuklia... Nuclear inasingiziwa tu
 
Naomba mwenye anajua chanzo cha huu mgongoni A to Z naomba anipe kuna 5k ya vocha hapa akiweza kudadavua..

Maana huyu lecture wetu leo katuamulia
 
Mkuu kwa sasa hata likiwa tetemeko la kawaida tegemea watu kusema ama ni nuclear imekuwa testrd na wengine hata kusema Mmarekani ana teknolojia ya kutengeneza matetemeko ya ardhi.

I am sure kuna watu wanasema hivyo sasa hivi.
Na wakati matetemeko hiyo zone ni kawaida, Iran, turkey etc
 
Suluhu ya Hii tabu ya Irani ni kutengeneza silaha za nyuklia tu,kidogo ndo naona watu huheshimiana na kuacha kuoneana Mikwara ya kisengerema itaisha pumbavu sana,unamvamia mwenzio wakati mpo kwenye mazungumzo tena unamuua kiongozi wa mazungumzo.
Walijua waajemi ni waarabu siyo.

Hittler alikua mbele ya muda sana,Nimeaanza kumchukia Mrusi sana yani hakupaswa kutetea hawa wapumbavu
 
Back
Top Bottom