son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Mzozo wa huu wa Israel na Iran si kwa sababu ya silaha bali ni utawala uliopo Iran huu mgogoro hauna utofauti na mgogoro wa Iraq ya Sadam, Libya ya GadaffiAliyegundua bomu la nyukilia alaniwe maisha yake yote
Ona linavyosababisha vifo na mizozo ya kila pahala
Mzozo huu unatokana na uvumbuzi huo huo
Habari ya jana na siyo karibu na fordowTetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site.
Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa
Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic bomb na tetemeko la ardhi lilitokea lenye ukubwa wa magnitude 6.3.
Japo mamlaka za Iran zimekaa kimya haijajulikana haswa ssbabu ya tetemeko hilo
Ilikua deep 10km,siyo nuke,ni tetemeko la kawaidaIran inawezekana ka test Nuclear
Mzozo huu ni maslahi ya watu walewale wanaojiita wanademokrasia wala hauhusiani na nyuklia... Nuclear inasingiziwa tuAliyegundua bomu la nyukilia alaniwe maisha yake yote
Ona linavyosababisha vifo na mizozo ya kila pahala
Mzozo huu unatokana na uvumbuzi huo huo
Ni Iran anatest mitambo yake chini ya ardhi... Hata mataifa yenye mabomu ya atomic walikua wakijaribisha yanasababisha matetemeko ya ardhiIlikua deep 10km,siyo nuke,ni tetemeko la kawaida
Mkuu kwa sasa hata likiwa tetemeko la kawaida tegemea watu kusema ama ni nuclear imekuwa testrd na wengine hata kusema Mmarekani ana teknolojia ya kutengeneza matetemeko ya ardhi.Ilikua deep 10km,siyo nuke,ni tetemeko la kawaida
Na wakati matetemeko hiyo zone ni kawaida, Iran, turkey etcMkuu kwa sasa hata likiwa tetemeko la kawaida tegemea watu kusema ama ni nuclear imekuwa testrd na wengine hata kusema Mmarekani ana teknolojia ya kutengeneza matetemeko ya ardhi.
I am sure kuna watu wanasema hivyo sasa hivi.
Hilo unajua wewe, wao wanakwenda na habari yao.Na wakati matetemeko hiyo zone ni kawaida, Iran, turkey etc
Anachangaya huyoHabari ya jana na siyo karibu na fordow