Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Morogoro tumetikiswa kama saa moja iliopita. Mungu atunusuru sikuwahi kujua kama bonde la ufa linakatisha na hapa pia douhhh
 
poleni wakazi wa dalisalama huku kwetu Arusha mambo mswano
 
Na hivi ndo vitu wangetuambia ili tuwe na tahadhari badala yake wanakula bata tu
Mmmxxiewi....
huwa wanasema baada ya tukio kutokea[emoji706]

Kwa wenzetu mapema tuu taarifa washapata + updates juu
 
... wanasubiria Geological Survey of America aka Mabeberu watujuze epicentre ilikuwa wapi maeneo ya Dar. Yap wametoa updates tayari; epicentre ilikuwa SE of Dar es Salaam with magnitude of 5.1 Ristcher scale.
mpaka sasa hakuna serious demage iliyotokana na hili natural dizasta?
 
Back
Top Bottom