Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Wanaume wa dar ni shida sn yaani katetemeko kadogo tu, watu roho mkononi.

Sisi mikoani huku matetemeko ya nguvu yanapiga lkn hukuti taharuki kiasi hicho.
 
Ule wa ubalozi ulikuwa hatari niliusikia mshindo wake!!
 
Hata hapa Ras Kilomoni limepita nilikuwa Shift ya kulinda Umeme wa Zanzibar nikahisi Mwizi anavunja Geti.
 
Hata Pwani Limepita..

Nilikuwa nimetulia zangu usiku kwenye bench nje ya nyumba, mara nikaanza kuhisi nacheza bila mziki... Nikainuka chap..!!

Wazo la kwanza kuingia akilini mwangu, "huenda kuna wajomba wamekuja kunijulia hali"... Nikachukua tochi kupiga doria kuzunguka nyumba nzima aisee...!

Nilipoona ola nikajisemea "wasinitishe na wala hawaniwezi wakajaribu kwingine"..

Kumbe ni tetemeko 😂.. I am relieved now.

TMA wawe wanatoa taarifa mapema tujiandae kisaikolojia na kupunguza unnecessary misconception..
 
Hali ya hewa na matetemeko wapi na wapi ?Ma geologist/seismologist ndo wanahusiana na matetemeko.
Epicenter ingekuwa nchi kavu ningeamka asubuhi na mengine maana 5.9 ni kitu heavy! Bora limejitulizia zake huko baharini. Ila mimi nipo mikoaaaaa
 
Pongezi nyingi kwa serikali ya awamu ya 5 kwa kutuletea tetemeko la ardhi bila madhara.

Hizi tunajua ni juhudi za serikali kupelekea fedha kulinda eneo la bahari yetu na hivyo tetemeko limetokea bila madhara. Hongera sana Daktari JPM
 
Epicenter ingekuwa nchi kavu ningeamka asubuhi na mengine maana 5.9 ni kitu heavy! Bora limejitulizia zake huko baharini. Ila mimi nipo mikoaaaaa
Yaani acha tu. Pia magnitude ingekuwa 9 humo humo baharini leo tungeamka na Tsunami.
Ila kweli imagine epicenter pale magogoni yaani pale posta leo kungekuwa tambalale,majengo marefu yote chali.
Ila mimi bado najiuliza kwa nini Tetemeko maana ukanda huu wa bahari huwa hakuna major fault na pia tupo mbali na ukanda wa bonde la ufa wenye matetemeko.
 
Wanadai ni matokeo ya milipuko ya Lebanon huko
 
Wanadai ni matokeo ya milipuko ya Lebanon huko
Hapana haimake sense. Lebanon ni mediterranean sea huko .Wapi na wapi tetemeko litokee indian ocean huku Tanzania ?
 
I thought the same kuhusu hili tetemeko Dar, Pwani Morogoro iko far kutoka kwenye belt zone la matetemeko makubwa hata bonde la ufa hii imetokeaje, nikawaza hili tetemeko lingezidi ukubwa huko baharini tungekumbwa na tsunami na Dar nzima ingepotea jinsi iko flat, naomba nisitokee maana matetemeko ya baharini huleta tsunami
 
Epicenter ingekuwa nchi kavu ningeamka asubuhi na mengine maana 5.9 ni kitu heavy! Bora limejitulizia zake huko baharini. Ila mimi nipo mikoaaaaa
Matetemeko ya baharini Ni hatari huleta tsunami lingeozeka ukubwa zaidi tsunami ingetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…